Maumivu ya moyo....!!!

Umechukua adhabu gani Kwa hawara yako...?
 
Samehe saba mara
Sabini..
Usiposamehe hata wewe hutasamehewa...
 
very sad indeed! Sijui wangu kusema ukweli maan yake, Acha Mungu atutangulie..


Kuna akina sisi wanaume tukishapata mtu tukampenda tukahakikisha nimeshamweka katika mazingira mazuri, tunaanza kujenga maisha kwa maono ya mbele, habari za mchepuko tunaziweka mbali halafu siku ya siku unakutana na habari hiyo khaaaaa.....MUNGU TUTANGULIE SISI!
 
very sad indeed! Sijui wangu kusema ukweli maan yake, Acha Mungu atutangulie..


Kuna akina sisi wanaume tukishapata mtu tukampenda tukahakikisha nimeshamweka katika mazingira mazuri, tunaanza kujenga maisha kwa maono ya mbele, habari za mchepuko tunaziweka mbali halafu siku ya siku unakutana na habari hiyo khaaaaa.....MUNGU TUTANGULIE
 
Love is a disease no one wants to get rid of. Those who catch it never try to get better, and those who suffer do not wish to be cured
🙁🙁🙁
 
demu pamoja nahuyo jamaa wote wasaliti chamsingi pga chini wte tafuta mwingne huyo ukiendelea nae atakupoteza
 
Achaaa tafuta mwanamke mwingine ila wakat unatafuta mwingine kua makini saaana coz wanawake siku hizi tumevurugwa hakuna tena
 
Mhhh labda kama unajisemea weye au hujawahi kutana na wadada walotendwa unaweeza jiuliza hivi wanawake wanamoyo au mawe how amevumilia hili
Kweli mwanamke anavumilia mengi Mara ngapi mnakutwa na evidence kabisa mnayamaliza hkn mkamilifu
 
Umeongea vzr
 
Haya maumuvu yaskie kwa mwenzio...
Dah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…