Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Usithubutu mwaya. Achane naye tu kiroho safi
Usithubutu mwaya. Achane naye tu kiroho safi
Ushauri huu nimeupenda na umenikumbusha mbali sana. Hakika ukifanya hivyo yeye ataumia maumivu yasiyoisha na hatokitenda tenaMmmmmhhhhh "NGUMU KUMEZA" ila fanya hili mwambie unajua kila kitu alafu potezea ishi naye kama hakuna lolote lililotokea baina yake na wewe TRUST ME itamuumiza zaidi ya wewe kulumbana na an that wat "MEN DO" atajihukumu na moyo wake wakati ww unasonga mbele na maisha yako.
HahahahahahahaahaMmmmh mtu kashachenjuliwa maboso, pole sana mkuu..!! Kuchapiwa inauma hatari, huyo kumuoa ni sawa na kuweka bomu la Korea Kaskazini ndani siku yoyote linakulipukia!!!
Kama nimpenda kuliwa hataa uwe unaingiza hataa miguu atatafuta wakumuingiza skio nitabia tuu ya muhusikaPole sana mdau. Ila jifunze kitu hapo. Mali si kitu katika mapenzi naimani ulikua humkojoleshi vya kutosha mdio mana akatafuta pa kukojoleshwa. My take utakapopata shem mpya simamia ukucha kwene yale mambo kua weird usiwaonee huruma hawa viumbe wapindepinde na wakunjekunje wakojoleshe mpaka wakaukiwe akitoka hapo hana mpango tena wa kuanza kufikiria mwanaume mwingine.
Ukutee skuzote mtandao pendwa kwake ilikuwa kawaidaa basii we unaonaa umekomesha kumbe umejichumia dhambi ambazo hataa shwtwan anakukataa.mimi yalinikuta nilileta hapa miez miwili imepita..nilikuta uchafu mwingi sana kwenye whtsp ilikua usiku..nikakaa kimya ila nilikua na hasira sana..demu akawa anajistukia...asubuhi nikamtia vya kutosha nikajaribu na tigo kidogo zen sikusemaga kitu chochote na alikua geto kwangu..baada ya wiki alivosepa na mm nikapoteza mawasiliano taratibu hadi nikafanikiwa kumpotezea japo hadi kesho ananisumbua na mm sina hisia nae tena..saiz naishi kwa amani zaid na najipanga kifedha na kila kitu ili nianze hit and run na sina hisia za kupenda hawa wadudu kwa sasa..nakushauri usitumie hasira tumia busara kufanya maamuzi utaona matunda yake..zen usije ukawaamini tena hawa watu...karibu katika hr mkuu
Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Ushauri mzuri maneno kuntu I hope atafanyia kaziHuyo Dada bado unampenda sanaa semaa kinachokuuma ni mselaako kuparaza kituako lakin ingekuwa wambali au humjui sidhan Kama ingekuwa tabu japo Kama unae roho ngumu yakusamehe huyo Dada anaweza kuwa mwanamke mzuri mbelen sababu watu hubadilika.
Ingekuwa wewe ndo umemla shost ake afu akukamate na akwambie anakuacha usingekubali ungefanya namna umrudishe muanze upya kama unaakil.
Kweli kakosea pakubwa lakin mzee baba hujawahi kupiga shoo za njee au kwakuwa hujawah kamatwa? Chakufanya mjulishe kuwa umejua usikilize muitikio wake . manunda yatakuletea mdomo na ujeuri Kama hajafanya kitu vile na wanao kushauri umpige chini hawajui umempataje na anakupaga nini ?
Kuna wadada mtaani kwetu wameliwaga karibia nakila mtu kipind cha nyuma sahiv wamenyuti na familia zao tuu kwa heshima.
Kama utamudu kumuacha itakuwa sawa na kumweleza na kumsamehe Kama atakuonyesha ushirikiano pia itakuwa sawa pia. Ni wewe mwenyewe kuangalia unaeza mpiga chini kumbe badae ndo angekuwa mkeo mkaja Fanya maisha fresh na unaweza piaa msamehe badae ukajuta. Jipe muda tuliza akili na roho usiamue ukiwa umekatia henken mayai maana unaeza Fanya kituko ikawa shida kwako na familia yako na kwenda jelaa skuhiz ni pua na mdomo sio mbali kabisa.
Huu ushauri si mzuri kwa mtu unayekaa nae nyumba moja, kwa sababu kwenye akili yake atajua lazima utamuacha tu hivyo kwa kukukomoa anaweza hata kukuwekea sumu kwenye chakula au hata kukufanyia kitu kibaya chochote kwa kuwa hupo nae ndani. Ushauri mzuri mwambie asubuhi na kama ni mtu wa mkoa mkatie tiketi kabisa ili umsimamie siku hiyo hiyo hawe ameama na kila kitu chake akuachie nyumba yako.Ushauri huu nimeupenda na umenikumbusha mbali sana. Hakika ukifanya hivyo yeye ataumia maumivu yasiyoisha na hatokitenda tena