Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
mimi wale wanaoniambia et simu ya mpenzi haigusw mi hapana...nikipata chamsi napekua..
kama kaka mtoaada hapa ...amekuwa mwaminifu siku zpte na ana nia nzuri na mdada ..mungu kaliona hilo akauhurumia kwa kukuonyesha uendako sio sahihi.
imagine ingekuwa umemuoa juzi halafu unakuta hizo msg si ungejiua?
samehe na huyo dada mwambie tu arudi kwa huyo kaka kwa amani wakaliendeleze..wewe basi utapewa mwingine na muumba.