Akimaliza kumfanyaa amwambie hamtakii? Akijibiwa anashkuru alikuwa hafikishwi nae ajibujee?Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Ninii hichii lakinii?Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwilo
Kweli hakuna ambaye angebaki salama kabisaHuwa najiuliza kama kila mtu kwenye mahusiano yake angekuwa anadukua mawasiliano ya mtu wake nani angekutwa msafi???
Hizi ndoa za siku hizi Mungu asimame tu kwa kweli....
Pole kwa yaliyokukuta na shukuru umeyajua mapema kabla ya kile kifungo.....
Haaahaaaa hakunaa kuded mwenyewe. Semaa jamaake unakutaa hanaa mke zaid ya makulaa nyoka tuu.Unaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..
Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?
Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
Ndio mkuuBabylon arusha?
I can feel what you're feeling because I've been through that too.Ndio mkuu
Hamna adhabu ya kutoa hapo kaka. Hao wote ni watu wazima. Kila kilichofanyika walipanga pamoja. Sasa kama walikubaliana kila kitu na ni watu wazima, unadhani hiyo adhabu ukitoa ndio itabadilisha maamuzi yao? Braza hapo wewe ndio ukae kando uache watu waendelee na walichokianza. Period.Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
why dear?Hivi Miss Natafuta ndio bun ama??