Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Pole sana mkuu wanawake cjui nn knawasumbua ucmdhuru wala we mpige chin
Asante mkuu, kiukweli inauma sana mkuu. Nahisi uamuzi wa maana nikuachana nae aendelee tu na.huyo jamaa
Unaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..
Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?
Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
anayekojoa haraka ni mwanamke hujaelewa nini?Huyo mwanaume mwenyewe anakojoa mapema kwa hiyo haifaidi sana..msamehe tu mkeo for the sake of children..si ndio mnasemaga hivyo.
Kusolve tena watu washakula mbaya zaidi anamjua mlaji....maybe lknkweli mkuki kwa nguruwe,ingekua ni dada ndo kaleta mada mngeponda ila kwakua ni mwenzenu mmepoaaa.....
ndo mkae mkijua na nyie mkichepuka tunaumia pia...
huyo dada kakosea pia,pole kaka..au prolly karma is fucking you up...either way pole tena ila we mwenyewe angalia wapi panakupa faida zaidi kati ya kutemana nae au kusolve nae hiyo issue....