KORBOTO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,848
- 2,447
hayo mambo mengine yanaumiza sanaKisasi uh!!!!
Not good.
hayo mambo mengine yanaumiza sanaKisasi uh!!!!
Not good.
kuto...mba..na wato...mb...ane wao halafu uwafanyie na sherehe na usawa huu wa msema kweli mpenzi wa mungu ...mimi hapana nikumpa live tu asepe aende kwa huyo anayemridhishaUnaumia sana,una maumivu ambayo yanakufanya ufikirie mbalii sana,unafikiria labda wewe una tatizo au labda humkidhi haja zake,au kuna something ana kimiss kwako,bt kiukwel unaumia,,pole sana..
Sasa wewe mwenyewe hujui cha kufanya bt je ushauri upi haswa unaotaka kutoka hapa jukwaani??? Je unataka kusikia unachokiwaza wewe kuhusu kumwacha au unataka tukupe ushauri kwa jinsi tunavyoona wanajamvi?
Kama mm ingekua ni wewe,kwanza ningeumia kias ila sio sana,na ningemshukur Mungu kwa kinifunulia nisilokua najua,na pia ningejitahid kukaa kimya kwa siku nzima bila kuchukua uamuz wwte,then natafuta muda mzr wa kupanga apointment ya jamaa,demu wako na km jamaa ana mke unamwambia aje nae kabisa,na ndugu yako anaemfaham shemej yke vzr,,mnakaa mnaandaa chakula na vinywaji,mnapoanza kula tu,unatoa ushahid wte hadharan,halaf unawaambia kila kitu,nimewasamehen na kuanzia leo we mwanamke mapenz yetu yamefika mwsho,na wewe brother nmekusamehe ila mungu atanilipia,then unasema haya tuendelee kula. Ila hakikisha kwamba unaacha kwel kwel,na uache kwa tabasam bila kuonyesha chuki,then baada ya mwez uone km hawajakonda...na kitakachowakuta wataomba pooo
Na kwa mambo kama haya ndio tunazidi kuwachukia ni kula na kusepa tuu ndio kazi iliobaki,Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwilo
Usithubutu kumwacha mtu kwa hasira,unaacha kwa sherehe kabsa ila wajue maumivu yako na furaha yakokuto...mba..na wato...mb...ane wao halafu uwafanyie na sherehe na usawa huu wa msema kweli mpenzi wa mungu ...mimi hapana nikumpa live tu asepe aende kwa huyo anayemridhisha
Mhh Huyu Mtoa Comment mbona kama Mshikaji aliyekuwa anamtafuna huyo Demu... Siyo kwa Comment hii.. Kumbe anawajua kiundani haswa mumeona hii comment?Utoe adhabu kwani umeoa? Au umetoa barua? Unajulikana kwao kisheria?
Unataka utoe adhabu afu umuache au uendelee nae? Una ujasiri wa kumuacha?
Kwa kifupi wanawake wengi tu hawawezi kutulia kwenye mahusiano kwa na mtu mmoja muhimu ni hsshima tu.
Kama unaweza kumuacha muache bila adhabu na kama huwezi kausha tu kama hujaona kitu.
Wanawake ndivyo walivyo na usingeona hiyo kitu usingehisi chochote.
Fanya maamuzi ya busara
Pole sana mkuu ndio wanawake walivyo, usidhani ukimwacha utapata bora kuliko yeye!Helw wakuu,
Habari za Eid Pili? Kwangu si njema sana baada ya kukutana na something I never expected, its a big blow to me.
Kwa kifupi wakuu, nina mpenz wangu ambaye napendan nae sana, sijawahi kumkosea wala kumkwaza with anything and I always considered our r/ship a healthy one. Hakuna matatizo yeyote kati yetu hata financial issues kiasi flan tumesimama. She is someone I was willing to take a larget step in life (marrying her) sometimes in next year after i've attained.some personal goals I have. Sasa leo kama bahati alinipatia simu yake nimrekebishie whatsapp ilikua inasumbua kuconekt bila kukumbuka ameacha some traces behind. Mimi wakati naifanyia setting simu, curiosity yangu ikanituma niende inbox kwa sms za kawaida... bandugu this is what I found ikabidi nipige na picha kwa simu yangu....View attachment 531363View attachment 531364View attachment 531365
Too bad huyu jamaa anaefanya nae upuuzi ni someone I trust and took as a brother since we were growing up mpaka sasa.tumekua watu wazima. Sijamwambia chochote mpaka sasa am still thinking ni adhabu gani niitoe au uamuzi gani niuchukue kutokana na ufedhuli huu niliofanyiwa. Ngoja nikapate a drink or two kwanza aisee nikae sawa, inauma wakuu acha tuu.
Movies??....Hahahaaaa umenikumbusha mbali, hii itakuwa kwenye movies nowadays mkuu siyo?