Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
blaza unaua mpaka invisibo atashtua ujanja wetu sasa
Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
umeniwahi mkaliwakitaa...
leo ndio nilitaka nianzishe sred yakuulizia BAN zimeenda wapi siku hizi...?
au watu wamekua na nidhamu sana?
kumbe mkuu ulikua kizuizini...pole
naitamani na mimi...nifanyeje niipate...
ni member mpya mara nyingi anakuwa jukwaa la siasa,
pitia pitia kula lazima utakutana naye.