Maumivu ya BAN.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,668
40,916
Jana ndio nimetoka gereza la ban nililo kuwepo for two months..walah ban inauma si mchezo..ushapigwa BAN wewe..embu tuelezee ulichokua unakimiss zaidi?? mimi nilimiss sana hapa Chit na MMU...
 
Pole sana. mimi nilishapata la wiki tatu khaa, sitaki hata kukumbuka.
Eh...hebu tuambie kilichokusibu mpaka upate hiyo ban.
 
asee ilikua siredi fulani ivi..asee..inauma sana kwa staili yake ya maumivu
 
Jana ndio nimetoka gereza la ban nililo kuwepo for two months..walah ban inauma si mchezo..ushapigwa BAN wewe..embu tuelezee ulichokua unakimiss zaidi?? mimi nilimiss sana hapa Chit na MMU...

Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
 
babu hubby wangu, sipati picha hiyo avatar tumbo lingekuwa linacheza, lol! mbona kuntu??
 
Asprin umeshasahau ulivyopigwa ile ya mwisho wa mwezi wa saba
ukawa unamwamkia kila mwana jf shikamoo,
sema tu ukweli.

Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.
 
Asprin umeshasahau ulivyopigwa ile ya mwisho wa mwezi wa saba
ukawa unamwamkia kila mwana jf shikamoo,
sema tu ukweli.
Sina sababu hiyo Mamndenyi. Au ulisahau niliibuka na ID zangu nyingine mbili nikaendelea kula bata na nyie kama kawa. Kama hukunistukia basi nakuonea huruma sana...
 
Last edited by a moderator:
Jukwaa la siasa full stress,nilipigwa BAN ya mwezi mmoja instantly! Mods wanashinda kule,Ban inakera
 
umeniwahi mkaliwakitaa...
leo ndio nilitaka nianzishe sred yakuulizia BAN zimeenda wapi siku hizi...?
au watu wamekua na nidhamu sana?
kumbe mkuu ulikua kizuizini...pole
naitamani na mimi...nifanyeje niipate...
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha
pole sana ban ina uma sana unakuwa unaangalia habari kuchangia huwezi!

Jukwaa la siasa full stress,nilipigwa BAN ya mwezi mmoja instantly! Mods wanashinda kule,Ban inakera
 
Unadhani watakwambia? Ukiona mtu kapotea kwa muda mrefu kuna uwezekano kimenuka!

Back
Top Bottom