Maumivu ya BAN.

mi naona km naonewa vile yaani utadhani mods wananifahamu na nina visa nao wanani ban ile mbaya mpaka nimechoka
 
Dawa ni kuwa na maID kibao. Mi wakinilima BAN kwenye ID hii, naenda kuibuka na mojawapo kati ya zile tisa nilizo nazo.

:biggrin1: aisee we unaogopesha afu ID zingine za kwako unajiweka kama female iko siku tutakuja kutongoza mameni wenzetu
 
umeniwahi mkaliwakitaa...
leo ndio nilitaka nianzishe sred yakuulizia BAN zimeenda wapi siku hizi...?
au watu wamekua na nidhamu sana?
kumbe mkuu ulikua kizuizini...pole
naitamani na mimi...nifanyeje niipate...

Tukana matusi mawili matatu tuuu uone cha moto
jukwaa la siasa ni kiboko kule ukicheza BAN ziko nje nje
Au nenda kabishane na akina zomba kule uone cha moto
 
Last edited by a moderator:
kutoka ban nimewaandalieni kitu kizuuri kaeni mkao wa kula..
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom