bologna
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 1,489
- 1,431
Matatizo ya nini jamani. Wanawake wapo wengi tu mitaani. Mpe mimba then unamwambia shida yangu ni mtoto tu. Twende mahakamani tuandikishiane ukijifungua nakupa milioni 15 then mtoto unaniachia niwe nakaa nae mimi. wewe utakuja siku mojamoja kumwangalia. Ukiamua kuolewa poa ila mm sitakufuatilia mama xyz eeeh m15 hizo. Yan kama unaenda kununua GX100.