Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Noooh!hakuwepo.....
sasa ndo iwe hakuwai kumwambia kuhusu Gabriel,,,sijui atambebake,maana kama jamaa ni great thinker hawez kukubali maelezo kirahirahisi tu
Noooh!hakuwepo.....
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu
Maana hivi vibuti vya kuambiwa na bint kuanzia leo mim na wewe basi,au naomba tusitishe uhusiano,nshaambiwa sana,ila huwa siumii au kujutia kwakua nakua sijapenda,sasa ndo nawaza naambiwa hivo halafu ndo nshwekeza moyo na pesa,nadhan hadi leo moyo ungekua na viraka,,,,,
ndo speed gavana ya watoto wa kike tuKabisa. We acha tu. Hizi Automatic Kalashnikov 47 zikae mbali tu, wapuuzi wengi sana mjini hapa
mapenzi ya kwenye filam ndo yanatuangamiza sana,wale wanaigiza sie tunawaiga,,,,mxiuuuuu,Maturity ndio hiyo sasa mpwa!!!!!!!
Tofauti ya uvulana na uanaume kwa maoni yangu ni pamoja na kuweza kutenganisha hisia na uhalisia!!!!!
kusomesha mwanamke noma labda we mkeo na hata akiwa mkeo vyuoni huko sio salama
kusomesha mwanamke noma labda we mkeo na hata akiwa mkeo vyuoni huko sio salama
Kinachonisikitisha ni demu bado yupo hai.
Maturity ndio hiyo sasa mpwa!!!!!!!
Tofauti ya uvulana na uanaume kwa maoni yangu ni pamoja na kuweza kutenganisha hisia na uhalisia!!!!!
Mkuu kama unapenda msomi kwanini usitafute aliyesoma kabisa maana wapo, kuliko hizi stress, na kama ulimpenda kwa elimu ndogo yanini ujisumbue tena kumsomesha, mambo yamekuwa hovyo hovyo so tahadhari ni muhimu, kabla ya hatari.nitamsomesha mke wangu wa ndoa tu hawa wengine tutaishia kutumiana vocha
asante mkuu kwa kuniweka sawa hii ndiyo JF ukukurupuka unapewa makavu.nimekuwa mpoleNafikiri hata wewe umekurupuka kidogo mkuu habari ni kuwa jamaa na msichana wake wamepona hivi sasa wapo MOI wanapewa matibabu daraja la kwanza hivyo wamepona ingawa cha moto wamekiona. Na kama wanatabia hizi ni wazi watamwagana
Soma hapa : Mauaji Dar - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Vyote kwa pamoja mpaka nimeshindwa nishangae au nishtuke au nisikitike..ikabid nifanye vyoteSwali au mshtuko??!
Hatakama umeoa ndugu hawajamaa ni kunguni ukigusa2 ananuka labda awe mchamungu sana bilahivyo subiribalaa utauwa.
ni christina nando na marehemu mdogo wake ni alfa....nimekuwa shocked sana sababu ni jamaa zangu....mungu awalaze marehemu mahali pema peponi na awatie nguvu majeruhi...
nyambafu we umeshawahi kupenda au kupendwa?Watu wengine hamnazo unajiua kisa mapenzi!