Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Fundisho.

Nextime we should try to use RPG or other grenades. Bastola don't kill effectively. I see Ufoo still inhaling free Oxygen.
 
mapenzi yanauma usiombee, especially kama mtu uli-invest muda wako mwingi, pesa zako, your heart and soul halafu huyo umpendaye anajua kabisa hakupendi! ila suala la kuua bado sili-afiki, just take time off from shughuli zako to heal.
 
Tunaishi kwenye generation yenye changamoto nyingi sana. Hizi pistol ni afadhali kuziuza tu na kubaki na shotgun huwezi kutembea nayo.

Then someone else atatembea nayo kukufuata.Soon utasikia jamaa kauwawa kwa shortgun yake baada ya mkewe kumfumania na kimada au akimshuku kuwa na mahuasiano na mwanamke aliyekutana naye ktk restaurant.
 
Jamaa alipaswa chukulia tuu km vile gharama zote alizoziingia km gharama za out kwa miaka mingi...Na hivyo hakuwa na haja ya kupandisha kichaa.Angepiga chini kirahisi tuu na kuendelea kula bata huku akijiapiza kutomkaribia tena huyu demu.Wengi huhishia pabaya kwani hizo tabia huwa hawaziachi, na huyo aliyekuwa naampeleka ulaya anagishia kufanya hiyo kazi tuu..na mwingine hadi huyo demu achoke na kukosa wengine ..ipo siku angerudi tena gia ajuayo na jamaa anagepata nafasi ya kulipiza bila shari.

Mwanamke akikutosa halafu akaikuta una mke mzuri ,simple na anayekupenda na kulea watoto kwa furaha huku ukiw aumefanikiwa huw anaumia kuliko wanavyoweza dhani wengine.Bora akukukute unajiamini tuu na huna haja nae tena.
 
Matokeo ndio hayo, mnauana kama mahayawani. Msiikaribie zinaa, hamsikii.

Bora angesaidia sna km angewapa zawadi watanzania kwa kuua Fisadi moja au mbili na kujiua..kafa kifo kischo economical kabisa.
 
Dada zetu waache utapeli wa wanaume, huyu jamaa alimsomesha huyu dada hadi Turkey kwa fedha nyingi sana then akamtafutia kazi! amefanikiwa analeta za kuleta eti hataki tena kuwa nae!\

RIP kamanda Munisi ndio namna pekee ya kukomesha UZULUMATI WA MAPENZI.:frusty:
 
mwekundu angalia kauli yako bro. kilichompata mushi na minisi ni ugonjwa wa msongo wa mawazo. unaweza mpata mtu yeyote. timshukuru tu mungu

mimi siwezi kukubaliana na wewe,hivi wewe hujawahi kupata msongo wa mawazo? so far hamna dini hata moja imeruhusu mtu kujiua ni dhambi kubwa na haramu sana...which means the knew kuna wakati unaweza pata stress zipo njia halali za ku release stress-ukikubaliana na hiyo hali which means una promote wenye stress za mapenzi wote wajiue.!!kwenye MMU mara ngapi watu wanaleta mada wamebambikiwa watoto?au wame cheatiwa ingekua solution ni SUICIDE kweli dunia ingebaki?hembu takakari hapo kwanza kisha unipe jibu!!!
 
Kila mtu ana mahakama yake ya kichwa!!!!
 
Kila mtu ana mahakama yake ya kichwa!!!!

mahakama zingine za kipuuzi na za kichwa cha kuku,nikuulize wewe umewahi kuumizwa mara ngapi na watu ambao umewategemea?Je ungekuwa na mahakama ya kichwa cha mbuzi kama hiyo ungekuwepo hadi leo?
 
====

quote_icon.png
By Nyati
Nafikiri hata wewe umekurupuka kidogo mkuu habari ni kuwa jamaa na msichana wake wamepona hivi sasa wapo MOI wanapewa matibabu daraja la kwanza hivyo wamepona ingawa cha moto wamekiona. Na kama wanatabia hizi ni wazi watamwagana
Soma hapa : Mauaji Dar - Kitaifa - mwananchi.co.tz
====

asante mkuu kwa kuniweka sawa hii ndiyo JF ukukurupuka unapewa makavu.nimekuwa mpole

Hata mimi nimefanya utafiti zaid na kugundua kuwa kumbe jamaa aitwaye Francis aliyepigwa risasi baadaye alikufa. lkn pia kumbe siyo aliyeingilia penzi la Munisi bali jamaa mwingine ambaye labda atafahamika baadaye, huyu mkenya alikuwa "at the wrong place at the wrong time". Kitu kinachonishangaza ni kuwa huyo msababisha maafa siyo mzuri ki-hivyo maana naona wa kawaida sana na umri umeenda. Sasa huyu kijana - Munisi kama angekuja kwangu nikamchongea "Salary slip ya like Tsh 2M take home" mbona angepata binti wa hali ya juu tu hapa mjini kuwa mbadala wa huyo Christina?

Nina picha zake ktk angle tofauti lkn kwa ajili ya privacy yake huyo binti sitaziweka ingawa zimenisaidia ku-conclude with 97% confidence interval kuwa binti hana uzuri wa kusababisha maafa haya, Labda kama kuna kitu kingine. pia ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wote Xtina na marehemu Alpha walikuwa wana JF
 
Naona hiyo itakuwa papuchi ndiyo imeleta balaa
 
Back
Top Bottom