Namkubali Kibonde lakini kutukana kwenye public kama ni kweli TCRA watachukua hatua sitahiki. Lakini kwa ujumla Kibonde anapendwa sana kwenye kipindi chake na ndiyo maana hata wale akina dada au akina mama wamepewa kazi nyingine na kipindi kikawa chini ya wanaume tupu.