Matusi Redioni

Matusi Redioni

Unachofanya hapa ni ushabiki tu wakati ukweli unao moyoni!
Mbona hajashambuliwa B12, Dinna, Kayanda,Fatma Milad, Lovess, Maestro, wasi,Abuu au Adam! kibonde si mtangazaji ni vuvuzele anafaa kwenye harusi si katika radio.

Kila jambo ye hujifanya anajua hawapi nafasi wenzie ktika kipindi wakati mara zote anazungumza upuuzi tu! sasa badala ya kuuchukua ukweli uufanyie kazi wewe unaukana na unampa sifa aendelee kutukana. Baki na upumbavu wako.

Eti mbona hajashambuliwa B Dozen au Diva Loveness Love au Kayanda n.k. Hivi wewe hii JF umeijua lini wewe? Clouds media group wanaandamwa sana hapa na watu ambao wanawadhania hao jamaa ni pro-CCM. Diva Loveness Love kila mara anaandamwa hapa. Mara eti hajui kupika mara sijui nini. Yaani jitu na akili zake linakuja na kuanzisha thread eti Diva hajui kupika? Man get outta here with that nonsense.

Nirudi kwa Kibonde. Yeye anatumia uhuru wake wa kuwa na maoni na kuyatoa hayo maoni pasipo kuogopa. Wewe kama unaona yale ambayo yeye huyaongea kuwa ni upuuzi, hey hiyo na wewe ni haki yako. Unaruhusiwa kuwa na maoni kama hayo. Yeye anafanya kazi yake kama mwendesha kipindi na mchambuzi wa habari na matukio yaliyotokea.

Kama unaniona mimi ni mpumbavu, hiyo wala hainipi shida. Vimba tu na hadi kupasuka upasuke. Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Kibonde yuko juu na kipindi cha Jahazi kiko juu kwenye hiyo "rush hour" ya kurudi nyumbani kutoka makazini.

Watanzania jengeni uvumilivu wa watu walio tofauti na nyinyi. Vumilieni mitazamo tofauti. Vumilieni mitindo ya kimaisha iliyo tofauti na ya kwenu. Vumilieni dini za wenzenu na vumilieni haki za wenzenu.
 
Tatizo si msimamo tofauti my dear! ni kutukana kwake usipindishe concept pls! wakati wa Gadner alikuwa anajua kumtete sana ndiyo maana wengine kwa kumheshimu Captain tulikuwa tunapotezea! lakini Kayanda hayupo hivyo ukimiss behv yeye nakuacha tu ufe nalo.

Tukirudi kwa Redio ya watu kupigwa vita hapa ilo Joe amejitakia, yeye angefanya urafiki wake na JK ubakie huko huko si kuuchanganya na redio hii mnayojifanya kuiita ya watu(means watu wote) bila kujali itikadi upo hapo nyani? tusiukwepe ukweli!

Tena nyani wewe ni wa PB namheshimu Gerlad,PJ na Babra
 
Kibonde katukana wapi "my dear"? Mimi nilisikiliza hicho kipindi na sikusikia tusi. Wewe ulilisikia?

Tukirudi kwa Redio ya watu kupigwa vita hapa ilo Joe amejitakia, yeye angefanya urafiki wake na JK ubakie huko huko si kuuchanganya na redio hii mnayojifanya kuiita ya watu(means watu wote) bila kujali itikadi upo hapo nyani? tusiukwepe ukweli!
It is their prerogative to align or affiliate themselves with whomsoever they want or have a bent towards a particular ideology so long as everything is within the confines of the law(s) that govern media entities.

Tena nyani wewe ni wa PB namheshimu Gerlad,PJ na Babra
Hahaaa haya "my dear". Heshima mbele ndo mpango mzima
 
It is their prerogative to align or affiliated themselves with whomsoever they want or have a bent towards a particular ideology so long as everything is within the confines of the law(s) that govern media entities[/QUOTE said:
Alaa kumbe!!
 
kwani nyie hamtukani kuna ajabu gani kuna mtu asiyejua hilo tusi au ndo mnaleta mambo yenu ya kis*n*ge mbona huwa mnatukana sana tu acheni mambo ya kik*ma.
 
minafikiri tusipende kushabikia mambo yasiyo na msingi kuna mengi sana yakufanya kuhusu nchi yetu,haa forum si kwajili ya kukashifu watu au kuchochoa vitu kama kitu huju uliza...kibonde hakutukana ila alisema aka fanye kazi kwa mama yake na tena akarudia kwa mara ya pili baada ya kuhisi hata wenzie hawakumsikia vizuri.sasa kama hujui hakuna presenter mzuri kama yeye bongo,raisi mwenyewe anamkubali na yy ndio alichaguliwa na raisi kuwa mtangazaji uwanja mpya.chuki peleka kwa mkeo,usifate yawatu yakwako yanakushinda ,tunakufa masikini kwajili ya kuchunguzana ujinga.
 
malalamiko haya yameshafikishwa kwa chombo husika (TCRA)na watachukua hatua pindi watakapothibitisha

THREAD CLOSED
Hapa ndugu umeleta ushabiki kama wa simba na yanga. Yani kwa sababu unamchukia Kibonde au Clouds ndio useme kitu hicho kama vile ni kweli. Wacha wafanye huo uchunguzi. Na labda alitukana siku nyingine lakini sio kwenye hilo unalolisema. Hata kama mtu anakosea, muhukumu kwenye ukweli ila sio kwa interpretations zako tu na kugeuza maneno. Kibonde hakutukana kama mnavyosema. Mi sio shabiki wake ila ukweli ntasema. Nadhani malalamiko TCRA yatakuwa yameambatana na ushahidi wa sauti, goodluck
 
Hapa ushabiki zaidi ulitumika kumhukumu Kibonde.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom