Matusi Redioni

Matusi Redioni

kibonde mpumbavu alitukana wanafunzi wa UDSM kuwa ni malaya,walevi eti wanakesha baa,hivi huyu kibonde huwa analewa bia ngapi? Hivi kwa sh.5000,unaweza ukakesha baa.huyu bwabwa anakera sana,anatafuta sifa,sijui anaisi watawala watampa ubunge wa viti maalumu.

Kuhusu hao wanafunzi alisema ukweli mtupu! Tembelea baa za Sinza na Ubungo uone hivyo visichana na UDSM vinavyouza nyuchi na kuendekeza ulevi.
 
Wapi audio clip?
Mzee Nyani, sometimes you gotta give folks the benefit of the doubt bro. Just because nobody can come up with the sound-bite doesn't mean he didn't say it. After all, the thread starter has convincingly made it clear that she holds nothing personal against dude. We are not dealing with a cold-blooded murder here, bro, for you to arrogantly insist on irrefutable proof of what's being claimed. C'mon man, get real!
 
I can't imagine anyone saying "kwa mama'ako"? Almost never heard anybody making that kind of the statement before. What would the context possibly be for anyone to want to utter those words?

You can't imagine it but he said it! Go back a couple pages and you'll get the context in which he uttered those words.
 
Ok. It appears there's no way to settle this other than having to listen to a podcast of the actual program or whatever.
 
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).

Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.

Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?

Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.

Just remember this my brother. Don't let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.

Vipi matumizi ya lugha ya matusi kwenye chombo kinachosikilizwa na watu wa rika zote? Au pia kwa hilo huwezi kuona tatizo kisa kipindi cha jahazi?
 
"kafanye kazi kwa mamako" ni matusi??? Tafuteni kitu kingine lakini sio kwenye hili. Ni uzushi mtupu. Na naweza kusema pia wengine walimsikia vibaya lakini sijui kwa nini wanang'ang'ania kwa sababu kibonde hakusema haya maneno mara moja, alirudia tena "kafanye kazi kwa mamako mzazi"
 
Na hicho ndiyo hata mimi nilichokisikia.

Kibonde wewe kaza buti yakhe. Uko juu sana kwenye unachokifanya. Mayowe ya wazushi yasikusumbue. Endelea kurusha mawe yako gizani na kila usikiapo 'yalaaaa' ujue umegonga penyewe.
 
Shikamoo dada preta, samahani kila nikijalibu kusoma hii post nashindwa, macho yanaganda hapo kwenye avatar yako lol nimeipenda kwa kweli.
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

Hilo tusi na avatar yako tofauti yake ni nini?
 
Tatizo Watanzania wengi wanapenda ujinga ujinga ndo mana watashabikia clouds.Hata kufa kwa hiyo ATCL ni ujinga ujinga tu ulioanzia wakati wa utawala wa Mwinyi mpaka wa huyu wa sasa.inafika hatu mtu unajuta kuzaliwa Mtz.kila kitu ovyo
 
umu ndani...ama kweli kila mtu na akili zake
 
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).

Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.

Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?

Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.

Just remember this my brother. Don't let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.

mkuu hoja ni matusi hata kama yuko juu ndio hachafue hewa , hali unajua watoto wanaweza kuwa wanasikiliza,
SKYSPORT walimfukuza ANDY GRAY kwa lugha mbaya studio tena alikuwa pendeni na wenzake japo mic zilinasa kitu, sio lugha chafu kama hiyo,
tuhacha uchabi na kutumia maneno ya kunanga umma eti wapende wasipende
 
Ni matusi gani aliyotukana Kibonde? Kama unayo yapeleke TCRA na kusanya wengine mliokereka na hayo mnayodai kuwa ni matusi na nendeni mkaandamane mbele ya ofisi za Clouds na mkimaliza hapo mwende kuandamana mbele ya ofisi za TCRA. Wewe unaonaje?
 
Na hicho ndiyo hata mimi nilichokisikia.

Kibonde wewe kaza buti yakhe. Uko juu sana kwenye unachokifanya. Mayowe ya wazushi yasikusumbue. Endelea kurusha mawe yako gizani na kila usikiapo 'yalaaaa' ujue umegonga penyewe.

mi naona toka jana mnabisha tu kitu cha muhimu nyani ngabu mi naona uilete hiyo clip hapa jamvini ilitukate mzizi wa fitina...
 
Ha ha ha ha .....kibonde bana...kashikishwa dau kubwa na bwana mataka ili akamuoshe yeye mzuka ukampanda....hela ni nouuma....sasa angeongeza dau si angemchojolea kabisa??
 
malalamiko haya yameshafikishwa kwa chombo husika (TCRA)na watachukua hatua pindi watakapothibitisha

THREAD CLOSED
 
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).

Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.

Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?

Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.

Just remember this my brother. Don’t let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.

Unachofanya hapa ni ushabiki tu wakati ukweli unao moyoni!
Mbona hajashambuliwa B12, Dinna, Kayanda,Fatma Milad, Lovess, Maestro, wasi,Abuu au Adam! kibonde si mtangazaji ni vuvuzele anafaa kwenye harusi si katika radio.

Kila jambo ye hujifanya anajua hawapi nafasi wenzie ktika kipindi wakati mara zote anazungumza upuuzi tu! sasa badala ya kuuchukua ukweli uufanyie kazi wewe unaukana na unampa sifa aendelee kutukana. Baki na upumbavu wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom