Matusi Redioni

Matusi Redioni

daah...busara kitu muhim ahhh! alifikiri yupo gengeni na wahuni ama....jazba! hiyo sio sababu hatakidogo huko ni kukosa busara tu.
 
kama alisema hivyo ,huo ni ukiukwaji mkubwa wa taratibu za kiutangazaji,kwani kila fani ina maadili yake na lugha za matusi ktk utangazaji ni kinyume kabisa na maadili ya kazi hiyo,hivi si tuna chombo kinachoangalia maadili ya utangazaji......
 
Ningeomba tuwe wakweli wa nafsi zetu, haiwezekani wewe ukasema sio mpenzi wa taarabu halafu kila siku unakwenda kwenye show za mzee Yusuf alafu unaanza kulalamika eti leo mzee Yusuf katukana, huu ni zaidi ya upumbavu. kwani mmelazimishwa kusikiliza jahazi? ukweli ni kwamba wote mnaosikiliza jahazi ni mashabiki wa kibonde. hivi hizo redio zenu hazina access ya kupiga cd au flash badala ya kusikiliza redio za mashoga wanaoliwa kama mboga?
 
Kibonde again.........!

Hebu mwacheni mtoto wa watu afanye kazi......

Kama unampenda msikilize, kama humpendi mpotezee!
 
Hata mimi nilisikilliza kipindi cha jana na bila shaka mtoa mada alisikia vibaya kama mimi mwanzoni lakini mwenzangu nadhani hakutafakari alichosikia wala kuendelea kusikiliza tena baada ya hapo. Kibonde alikuwa akiponda watu wanojisifu kuwa wamefanya kazi muda mrefu kwenye mashirika ya umma bila kuwa na lolote la maana waliloonyesha kuchangia. Na ndo ikafika mahali akasema kuwa mtu unajisifu tu bila sababu eti nimefanya kazi miaka mingi..."KAFANYE KAZI KWA MAMAKO". Na alirudia kuwa akafanye kazi kwa mamake. Mi sina upenzi wala chuki kwa Kibonde ila si vizuri tukakurupuka kusema katukana, utathibitisha?
 
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).

Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.

Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?

Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.

Just remember this my brother. Don’t let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.
I don't beleive this comes from you man.
 
Akaze buti kwa kuongeza matusi? au sijakuelewa mkuu? ni kweli alitukana na wenzie inaonyesha hawakukubaliana na kile alichotenda kwani walichekea chinichini na kunong'ona kwa mbali,...anyway ana uhuru wa kufanya lolote na community itaamua kumweka group ipi,
 
Hata mimi nilisikia, kwa kweli sijui tunakwenda wapi, maana tunaowategemea watuelimishe ndio hao wanatukana redioni , tutafika kweli?????????
 
Hata mimi nilisikia, kwa kweli sijui tunakwenda wapi, maana tunaowategemea watuelimishe ndio hao wanatukana redioni , tutafika kweli?????????
Wote tunajua Kibonde ana mapungufu mengi na ana ushabiki usio na maana mara nyingine na kujifanya anajua kila kitu lakini ukweli ni kuwa jana HAKUTUKANA, lets just be fair
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

unajua nashangaa sana jinsi hii radio inavyopoteza umaarufu taratibu,zamani nilikuwa mpenzi sana lakini siku hizi nasikilza power breakfast peke yake!!!!!!!!!mambo ya biashara magumu sana
 
Hata mie nilimsikia, ila I believe he got carried away and it shows that as tanzanians we have a united stand on certain issues. Ila angeomba radhi as soon as possible.
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.
 
Wapi nimekataa? Wapi nimeandika Kibonde hajatukana? Mimi nimeomba audio. Unayo wewe?

Nyani uko town au uko field? Mbona wengi wanakupa uthibitisho wa maneno na hataki kuamini? Au ndo kubishana ni lazima ushinde wewe?
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

Sifa kubwa ya kujiunga na hii redio kama mfanyakazi lazima uwe mtoto wa kihuni. Ukiwa mstaarabu fulani aliyezubaa lazima ungalie Nyerere Road........... Kile kipindi cha kudadis naona kama siku za hivi karibuni sio kudadis bali ni umbeaumbea tuuuu.
 
Hivi hamjui hiyo redio siku hizi hata Steve Nyerere The comedian naye ni mtangazaji wa hiyo redio? kama hamjui anajulikana kwa jina la bonge. vituko vinaendelea mpaka Eat African redio eti Zembwela nae ni mtangazaji na jana alikuwa anamfanyia mahojiano Halima Mdee, this can happen only in Tanzania.
Mtangazaji yeyote wa kweli wa nchi hii ni lazima atakuwa kwenye redio international za idhaa za kiswahili kama BBC na DW.
 
Preta umeniwahi. Nilitaka kuleta hii issue hapa. Ni kweli kabisa kibonde alitukana tusi hilo (K*M* YA M*M*K* MZAZI) na baada ya hapo wenzake wakataka kulipindisha kwa maana ya kukata makali ya tusi lenyewe, eti kwa kumuuliza (Nawanukuu) "umesema wakafanye kazi wapi Kibonde? halafu wakajijibu wenyewe "Kwa mama yao mzazi? Naye kibonde akasema "Yah!!"
Hii ilitokea baada ya Kibonde kuwakandia sana waliofanya kazi ATCL kwa muda mrefu wa kati ya miaka kumi na kuendelea, ambao kwa mujibu wake yeye hawana lolote walilofanya kuisadia kampuni isifilisike.
 
Yo Yo mmechukuliana demu nini na Nyani Ngabu?
bwahahaha dogo hanba uhakika na maisha uko majuu...ndio maana W Jumanne malecela anamuona kama mungu wake.....BTW mashori wake ni zile XXL zinazompa hifadhi ya kuendelea kuganda uko
Fat-Chicks-ghetto.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom