Matusi Redioni

sasa ngoja tukubali kuwa sisi tuliomsikia akitukana ni vichaa, wewe ndio mwenye akili timamu kutaka ushaidi wa upuuzi

Usikasirike unapoombwa ushahidi wa kile unachokidai. Kama huna ushahidi wa kuunga mkono madai yako ni bora na ni busara kukaa kimya kwanza hadi hapo utakapokuwa tayari na uhakika wa kile unachokidai.

Na ujue mimi sijakataa kuwa Kibonde katukana na sijakubali kuwa kweli katukana. Mpaka sasa nipo agnostic. Ukiniwekea ushahidi hapa nami nikasikie kwa masikio yangu kile mnachokidai kakisema, kelele zangu za kuomba ushahidi zitakoma.

Ni hivyo. Au mtu kuomba ushahidi ni kosa?
 
Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi Clouds Fm, Kibonde, Kayanda na Wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa ATC, mjadala umeenda vizuri japo Kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, Hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....Clouds FM imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
Nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

Jambo la kushangaza ni kuwa hii SI MARA YA KWANZA CLOUDS KUTUKANA HEWANI. Kwa bahati mbaya mara zote hizi anayetukana ni huyohuyo Kibonde ambaye mara nyingi anaoneka kuhodhi mijadala hiyo ya Jahazi. Tangu ameondoka Gardner hicho kipindi kimekosa radha, kimekosa maadili, kimekosa mwelekeo na haijulikani kwa siku hiyo wanaongelea au kujadiri jambo gani. TUNAWAOMBA TCRA WACHUKUE HATUA KWA CLOUDS FM ili radio zetu ziwe na nidhamu na zifuate maadili ya Kitanzania
 
Na nyinyi muache kukisikiliza. Sio kulia lia tu....hhihihihihhh Kibonde kasema hivi.....hihihiiii Kibonde kasema vile......mtalia hadi lini? Hupendi Clouds...sikiliza Times FM....huwapendi hao sikiliza Redio wani....ebo!
 
nahisi preta aliamka na hangover...so masikio yake yalikua a lil bit dead..
 
Jambo la kushangaza ni kuwa hii SI MARA YA KWANZA CLOUDS KUTUKANA HEWANI. Kwa bahati mbaya mara zote hizi anayetukana ni huyohuyo Kibonde ambaye mara nyingi anaoneka kuhodhi mijadala hiyo ya Jahazi. Tangu ameondoka Gardner hicho kipindi kimekosa radha, kimekosa maadili, kimekosa mwelekeo na haijulikani kwa siku hiyo wanaongelea au kujadiri jambo gani. TUNAWAOMBA TCRA WACHUKUE HATUA KWA CLOUDS FM ili radio zetu ziwe na nidhamu na zifuate maadili ya Kitanzania

... cloud cloud.. kibonde kibonde..waaaacheenii kwani kuna mtu anawaalika mumskize... kama vp na nyie anzisheni radio zenu ili mtukane...
 
Mtoa mada hilo tusi si tusi kuzidi ya avatar yako hiyo! Japo sifaigilii kabisa kinachoendelea na Clouds FM kwa sababu inapoteza umaarufu hata na East Africa na akina Zembela, cha kuwashauri East Africa waweke kipindi kama hicho cha clouds mida hiyo ya kwenda nyumbani maana hakuna redio kwa sasa Clouds wamechemsha ubunifi zero, huwezi mtu ukawa unajua kila kitu, mipira wewe, siasa wewe, uchumi wewe, mambo ya viti virefu wewe, khaa Clouds fungukeni bwana.

Hoja yangu Preta hiyo avatar yako ni tusi tosha kwa sisi watoto wa miaka ya sitini na sabini huko, ilikuwa ukiona tu lesi lesi za gagulo ya mama yako ni aibu, sembuse na hiyo avatar yako? ahh jamani si afadhali ya TUSI LA KIBONDE?

Aluta contunua!
 
Wheww......kweli Alunta Continua
 
nahisi preta aliamka na hangover...so masikio yake yalikua a lil bit dead..

hivi eeeh.....dah....basi inaelekea wote tuliosikia tulikuwa na mning'ing'inio......
 
f9ATPJAY+z0QXpKLzWhuyi+qzCuuxDQU5TwvwCJSAd5eIRDjwAAAABJRU5ErkJggg==

Nilisikiliza, ukweli hakutukana zaidi ya kusema kafanye kazi kwa mamako, najinsi anavyoongea haraka wengi mmetafsiri sivyo.
Hata hivyo mleta mada avatar yako ni matusi tosha, kama kweli umekereka na uliyodhani matusi ya kibonde nategemea utaona ni matusi pia kwa avatar yako isiyo na ustaarabu na heshima hata kidogo
Tafakari chukua hatua
 
mkuu zingine ni chuki binafsi tu, unajua wengi wetu humu tunapenda sana kumsikiliza kibonde lakini hatumpendi,ndio maana akiteleza kidogo au wakihisi kafanya kitu mbio kufungua thread hapa jamiiforum.
Nandika haya sababu nahakika na nilichosikia.
mwisho wa siku tukubali tukate katika soko la radio clouds hawana mpinzani, wamekaba pande zote. na wanatangaza kwa level ya mwananchi wa kawaida kabisa kuwaelewa
Asubuhi watu wako ktk madala dala na usafiri wao wote wanasikiliza power
Saa tatu hadi 7akinamama wauza maandazi, mama ntilie,wamama wa nyumbani huwelezi kitu kwa Dinas marios na leo tena
Mchana Masharobaro wote, masaloni, vijana majobless huwaelezi kitu kwa b12, mchonvo na dj fatty
Jioni wakati watu wanatoka makazini daladala zote magari binafsi wote masikio kwa kibonde na jahazi
Bado kuna mabolingo nk
Na kwa taarifa kipindi cha jahazi ndicho chenye matangazo ya udhamini yanayolipia pesa nyingi kuliko vipindi vingine

Mwisho Clouds ni radio ya burudani if you want something siriazi sikiliza tbc nk

Umemaliza kila kitu mzazi!
 
kumekua na malalamiko mengi sana kuhusu huyu mtu kwanini alalamikiwe yeye tu? Kiukweli kuna wakati hata sielewi anayoyazungumza ni akili yake au ya kuazima, kama kweli ametukana awe makini radio si sehemu ya kuropoka tu mawazo binafsi kama huwezi kuongea mambo ya msingi si lazima uongee mimi mmoja wa walioacha kuckilza jahazi kwa sababu ya upuuzi wake ni hayo tu ya kwangu.
 
kibonde mpumbavu alitukana wanafunzi wa UDSM kuwa ni malaya,walevi eti wanakesha baa,hivi huyu kibonde huwa analewa bia ngapi? Hivi kwa sh.5000,unaweza ukakesha baa.huyu bwabwa anakera sana,anatafuta sifa,sijui anaisi watawala watampa ubunge wa viti maalumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom