Matusi Redioni

Acha niwasiliane na vyombo husika. hatuwezi tukapuuzia upumbavu kama huu uendelee kabisa yaani.
 
Jibu hoja je Kibonde alitukana au hakutukana, kama hujui uliza, Kibonde katukana halafu wakamsaidia kwa kumuuliza nini, akabadilsha, pia si mara ya kwanza kumsikia akitukana
 
Sometimes huyu bwana huwa anaongea pumba sana!... Even kipindi cha usiku cha loveness love hujaa matusi tuu!..
 
Jibu hoja je Kibonde alitukana au hakutukana, kama hujui uliza, Kibonde katukana halafu wakamsaidia kwa kumuuliza nini, akabadilsha, pia si mara ya kwanza kumsikia akitukana

Weka audio hapa....maneno matupu bila kizibiti ni sawa na bure tu.
 
Acha uongo, hata mimi pia nimesikiliza, hakuna sehem aliyotukana kama unavosema, hata kama angelikua ni mjinga kiasi gani asingeweza kutukana hilo tusi on air, punguza chuki.

Ni kweli ametukana hilo tusi hata mie nimemsikia, wenzake wakanyamaza kimya, shortly mmoja akamwambia una maana akafanye kazi ya mamaake sio ili kupotezea...

Nimemsikia akitukana leo live bila kuuma maneno nikiwa na wife mpaka tukaziba midomo, Preta is right.
 
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).

Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.

Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?

Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.

Just remember this my brother. Don't let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.

NN
Ni kweli watu wanaipenda cllouds lakini si kweli kuwa Kibonde kama kibonde yuko juu kiasi hicho. Huyo kibonde akiondoka na hicho kipindi chake akienda radio nyingine ni wachache watamsikiliza.

Kuna idadi ya watu wengi tu wanasikiliza Jahazi sababu ni kipindi cha kinachotangazwa na Clouds fm na sio kwa sababu mtangazaji ni kbonde. .... Hope umenilewa.

BTN

kama kweli kibonde katamka hilo neno nadhani ataomba radhi na anatakiwa afanaye hivyo . Kama binadamuwengine woete huwa tufanya makosa toafuti iliypo ni kukubali. pale tunapoksea . Akiwa mwanasiasa then.............
 
Kibonde kutwa kucha yeye kuwa gumzo basi ujue bila yeye hicho kipindi kitapwaya. Niaminie…controversy ina mvuto wake. Rush Limbaugh asingekuwa juu kama alivyo kama asingekuwa controversial.

Wasiwasi na yule mwenzake wala hawana mvuto kabisa. Kwa siku kadhaa Kibonde alikuwa hayuko hewani na kipindi kilipwaya pwaya. Leo karudi si umeona mwenyewe….tayari keshaanzishiwa thread.

Kibonde komaa mwana. Just be you.
 
mkuu inaelekea unamkubali sana kibonde mpaka huamini unayoambiwa na wana jamvi..

Nyinyi kama Kibonde anawarusha roho hivi je tungekuwa na personalities kama akina Rush Limbaugh si mngekufa kabisa? Hahahaaaa acheni hizo nyinyi….Kibonde is nothing compared to some radio hosts that I know
 
bahati mbaya unaowajua wewe sisi hatuwajui na wanakuhusu wewe, hapa tunamuongelea Kibonde ambaye anatuhusu, na anaechangia kupotosha jamii yetu kwa ukilaza wake
 
bahati mbaya unaowajua wewe sisi hatuwajui na wanakuhusu wewe, hapa tunamuongelea Kibonde ambaye anatuhusu, na anaechangia kupotosha jamii yetu kwa ukilaza wake

Hayo ya yeye kuchangia kupotosha jamii ni maoni yako na una uhuru na haki ya kuwa na kutoa maoni kama hayo. Vivyo hivyo, kama ilivyo kwako na watu wengine, Kibs naye ana uhuru na haki ya kuwa na maoni yake na kuyatoa bila wasiwasi wowote ule.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom