Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,105
- 62,064
Mi naonaga ni uchafu tu, haziongezi chochote pale kati
Cheni kiunoni sawa ila mishanga mishanga hapana kwa kweli.Kuna zile za gold[emoji7]
Tena ukute mishanga mingi🤣Cheni kiunoni sawa ila mishanga mishanga hapana kwa kweli.
Kwanyie wakinga hii kitu hamuwezi kuijuaMi naonaga ni uchafu tu, haziongezi chochote pale kati
Shanga mbili tu laini ndogo ndogo zinamzukaTena ukute mishanga mingi[emoji1787]
Tupo kundi moja mkuuDah sijui ni ushamba wangu tu ila kuna vitu kama.
Shanga.
Kieleni puani
Bangili ya mguuni
Tattoo kwa mwanamke
Akijichubua
Nikiviona ivyo uyo mwanamke anapoteza kabisa ushawishi Kwangu.
Hizo ndo zenyewe nikiona mdada kavaa hiyo inakua mukide ile ileKuna zile za gold😍
Wanakuwaga na joto sana wabenaAisee nilikutana na Mbena mmoja pande za Njombe ana shanga kama zote,halafu fundi balaa Binti yule wa Kibena.
Kweli mkuu washamba na suala LA mapenzi tu awajui awa jamaa, mm npo uku nyanda za juu kusini kwakweli amna kabisa ivyo vitu.Wengi mliokulia Kanda ya Ziwa na Nyanda za juu kusini hamjuagi hizi mambo
Kuna mmoja alikuja job sasa ile kumwambia toa nguo akawa km anasita sita ivi kutoa mzee ana hyo cheni ya gold na vile ni msomi maisha mazur ananukia adi raha wakuuu!!! Izi kazi zetu ngumu sana mda mwingine alaf ajaolewa tuliishia kuangaliana tu ila nilisamehe niliona nikichukua no nitakiuka maadili, ila mweeeee! Mbombo ngafu.Kuna zile za gold[emoji7]
Kazi gani kaka namie nljiungeKuna mmoja alikuja job sasa ile kumwambia toa nguo akawa km anasita sita ivi kutoa mzee ana hyo cheni ya gold na vile ni msomi maisha mazur ananukia adi raha wakuuu!!! Izi kazi zetu ngumu sana mda mwingine alaf ajaolewa tuliishia kuangaliana tu ila nilisamehe niliona nikichukua no nitakiuka maadili, ila mweeeee! Mbombo ngafu.
samaki mkunje angali mbichiShape miaka miwili??😄😄
Jmn kwa ss watu wazima inasaidia nn, nataka nijaribu kuvaa