Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 574
Ujue na kuinunua😀Sivutiwi na shanga kiunoni,
Napenda cheni ya gold kiunoni kwa mwanamke[emoji39]
Ujue na kuinunua😀Sivutiwi na shanga kiunoni,
Napenda cheni ya gold kiunoni kwa mwanamke[emoji39]
Samaki mkunje angali mbichiShape miaka miwili??😄😄
Yah mtu anakuchambulia nyeupe mpaka ya blueWengi wao wamekulia mainland huko haya mambo yapo ukanda wa pwani huku
Shanga.
duh!!! ko anakaandalia katoto kake mazingira mazuri ya kuja kutafunwa na wababe sio.Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape.
Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili.
Je jambo hili lina ukweli huko duniani?