Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

we jamaa umenikumbusha mbali sana..

mjukuu wa Coullibary Dakar shanga mixer na hirizi kiunoni, au chante chante wa bissau shanga 12 lazima uzikate zote, bila kumsahau mtoto mamuu wa barabara ya nane TA... dunia ina raha zake japo peponi zaidi....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wote hao wakinga wanyakikyusa sijui wanyalu hamna kitu washamba sana kwenye hiyo sekta..Kanda ya Ziwa ndio yote kabisa hawajui hata kuoga [emoji1787][emoji1787]
Aiseee hawajui kuoga tena?
 
kuna watu wanazichukia shanga kwasababu hazijavaliwa kiunoni [emoji23] ziko kama ziko kwenye mgomba wa Rombo mbele hazipo nyuma hazipo... unapata mwanamke ana kitambi afu kavaa shanga kibao zimechanganywa changanywaaa...

Nyie wakataa shanga em upate mtu ana kiuno halafu ana rangi ipo kati ya Mtume na Bronze ana mahips kaweka shanga ya Bronze Gold moja imekaza ingine imelegea... halafu urudi tena hapa kutengua kauli
Natamani nikuone
 
Waliobuni huu urembo wamejua kuniteka hamna kitu inavutia kama kuona kiuno cha mrembo chenye ngozi soft kilichopambwa na tattoo au shanga laini zilizolala kwenye nyama ya laini ...kwa kweli hua zinanipagawisha hatari sana.
Ingawa sio wote wanaopendelea hii kitu ila mi bint ambae hajavaa naona kama hayupo romantic..ukimpapasa mtoto alie vaa shanga hisia zake mpaka kiutelezi kinaanza kuonekana juu ya mashavu yake soft yaliopigwa Topaz na mvuke hatari sana....View attachment 2116188View attachment 2116190View attachment 2116191

Kwani zina kazi gani hizi?
 
kuna watu wanazichukia shanga kwasababu hazijavaliwa kiunoni [emoji23] ziko kama ziko kwenye mgomba wa Rombo mbele hazipo nyuma hazipo... unapata mwanamke ana kitambi afu kavaa shanga kibao zimechanganywa changanywaaa...

Nyie wakataa shanga em upate mtu ana kiuno halafu ana rangi ipo kati ya Mtume na Bronze ana mahips kaweka shanga ya Bronze Gold moja imekaza ingine imelegea... halafu urudi tena hapa kutengua kauli
Naaaaaaaaaam
 
Hayo ni maplastic yanatengenezwa na wachina na yanauzwa na wamasai.Hayana uhusiano wowote na mtu anayevaa mamizigo hayo ambayo ni mauchafu mwilini mwake.Kama unaona yanathamani basi nenda kwa wamasai kanunue furushi lolote ulitakalo uvae ili ujipagawishe mwehu wee
 
Back
Top Bottom