Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

Matumizi ya shanga kutengeneza shape kiunoni

Waliobuni huu urembo wamejua kuniteka hamna kitu inavutia kama kuona kiuno cha mrembo chenye ngozi soft kilichopambwa na tattoo au shanga laini zilizolala kwenye nyama ya laini ...kwa kweli hua zinanipagawisha hatari sana.
Ingawa sio wote wanaopendelea hii kitu ila mi bint ambae hajavaa naona kama hayupo romantic..ukimpapasa mtoto alie vaa shanga hisia zake mpaka kiutelezi kinaanza kuonekana juu ya mashavu yake soft yaliopigwa Topaz na mvuke hatari sana....
Screenshot_20220211-155224~3.jpg
Screenshot_20220211-160255~3.jpg
Screenshot_20220211-160344~3.jpg
 
Dah sijui ni ushamba wangu tu ila kuna vitu kama.

Shanga.

Kieleni puani

Bangili ya mguuni

Tattoo kwa mwanamke

Akijichubua

Nikiviona ivyo uyo mwanamke anapoteza kabisa ushawishi Kwangu.
Dah mkuu kweli tupo tofauti mi nikiona shanga kiuononi na kikuku akikaa vibaya namkwiba mzimamzima
 
Back
Top Bottom