Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 144
- 151
Aisee!..Kwakweli mwanamke anayevaa shanga sijui namuonaje yaani kama mganga wa kienyeji alafu sinaga mzuka nazo kabisa
...........ukikutana na M'ke mwenye hivyo au kimojawapo kati ya hivyo ulivyovitaja hakikisha unatumia condomu.Dah sijui ni ushamba wangu tu ila kuna vitu kama.
Shanga.
Kieleni puani
Bangili ya mguuni
Tattoo kwa mwanamke
Akijichubua
Nikiviona ivyo uyo mwanamke anapoteza kabisa ushawishi Kwangu.
Kuna mmoja zilikatika kwenye daladala nikasikia mlio kama mtu anamwaga mahindi kwenye bati huwezi amini alijifanya sio yeyeWaliobuni huu urembo wamejua kuniteka hamna kitu inavutia kama kuona kiuno cha mrembo chenye ngozi soft kilichopambwa na tattoo au shanga laini zilizolala kwenye nyama ya laini ...kwa kweli hua zinanipagawisha hatari sana.
Ingawa sio wote wanaopendelea hii kitu ila mi bint ambae hajavaa naona kama hayupo romantic..ukimpapasa mtoto alie vaa shanga hisia zake mpaka kiutelezi kinaanza kuonekana juu ya mashavu yake soft yaliopigwa Topaz na mvuke hatari sana....View attachment 2116188View attachment 2116190View attachment 2116191
Tayari anazoSawa mkuu. Mnunulie ili ufurahie na kupagawa zaidi.
Unakula maini huku unapapasa shangaHahaa nilimnulia mrembo wangu nukienjoy sana siku iyo
Wengi mliokulia Kanda ya Ziwa na Nyanda za juu kusini hamjuagi hizi mamboKwakweli mwanamke anayevaa shanga sijui namuonaje yaani kama mganga wa kienyeji alafu sinaga mzuka nazo kabisa
Wengi wao wamekulia mainland huko haya mambo yapo ukanda wa pwani huku
Mkuu bila shaka wewe ni mbena au nakosea?Dah sijui ni ushamba wangu tu ila kuna vitu kama.
Shanga.
Kieleni puani
Bangili ya mguuni
Tattoo kwa mwanamke
Akijichubua
Nikiviona ivyo uyo mwanamke anapoteza kabisa ushawishi Kwangu.
Haswaa wabena haoWengi mliokulia Kanda ya Ziwa na Nyanda za juu kusini hamjuagi hizi mambo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wote hao wakinga wanyakikyusa sijui wanyalu hamna kitu washamba sana kwenye hiyo sekta..Kanda ya Ziwa ndio yote kabisa hawajui hata kuoga [emoji1787][emoji1787]Haswaa wabena hao
mi simooo ila wakati namfanyia .masajiUnakula maini huku unapapasa shanga
Akivaa nyekundu ujue Simba anacheza na Asec Mimosa😀.Hapa hapa mberee..
Unajua rangi za shanga zina maana?.
Acha dharau wewe..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wote hao wakinga wanyakikyusa sijui wanyalu hamna kitu washamba sana kwenye hiyo sekta..Kanda ya Ziwa ndio yote kabisa hawajui hata kuoga [emoji1787][emoji1787]
Kadeti na wasabatoDah sijui ni ushamba wangu tu ila kuna vitu kama.
Shanga.
Kieleni puani
Bangili ya mguuni
Tattoo kwa mwanamke
Akijichubua
Nikiviona ivyo uyo mwanamke anapoteza kabisa ushawishi Kwangu.