latifu mohamed
Member
- May 1, 2017
- 20
- 16
Kwanza sababu ni za kiusalama kulinda eneo kwa taharuki zikitokea so usalama ni muhimu, pia kutunza kumbukumbu za mauzo matajiri wengi wanaibiwa sana mahesabuKumeibuka tabia ya kila mtu anafunga cctv camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga cctv camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za binadumu (haki ya faragha) inafunjwa kwani serikali imeshindwa kutunga sheria ambayo itaweza kutoa muongozo wa matumizi ya cctv camera.
matokeo yake cctv camera zinafungwa kwenye maeneo ambayo siyo sahii kufungwa.
kuna umuhimu wa kutunga sheria kuweka utaratibu kuakikisha kukua kwa teama hakufunji haki ya faragha kama ilivyo tamkwa na ibara 16 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya 1977.
Neno hiliEneo la biahara langu, nina jukumu la kuweka ulinzi wa aina yoyote.
Serikali ipunguze kodi au ifute kodi kwenye uagizaji wa hivi vifaa.
Hahaha hahaha hahaha.......Unamaana kumbe wanaweza kuwa Wana turecod tunavyofanyana mapenzi
nadhani faragha siyo kufanya mapenzi tu.Unamaana kumbe wanaweza kuwa Wana turecod tunavyofanyana mapenzi
Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za binadumu (haki ya faragha) inafunjwa kwani serikali imeshindwa kutunga sheria ambayo itaweza kutoa muongozo wa matumizi ya CCTV camera. Matokeo yake CCTV camera zinafungwa kwenye maeneo ambayo siyo sahii kufungwa.
kuna umuhimu wa kutunga sheria kuweka utaratibu kuakikisha kukua kwa TEHAMA hakufunji haki ya faragha kama ilivyotamkwa na Ibara 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977l
Wazo lako zuri utatuokoa tunaoiba wake za watu na kupitanao barabarani kufanya shoping'i, zile za Mnazimmoja ziondolewe.Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za binadumu (haki ya faragha) inafunjwa kwani serikali imeshindwa kutunga sheria ambayo itaweza kutoa muongozo wa matumizi ya CCTV camera. Matokeo yake CCTV camera zinafungwa kwenye maeneo ambayo siyo sahii kufungwa.
kuna umuhimu wa kutunga sheria kuweka utaratibu kuakikisha kukua kwa TEHAMA hakufunji haki ya faragha kama ilivyotamkwa na Ibara 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.
tunataka kuwepo na sheria ambayo itatoa taratibu na adhabu kwa mtu atakaye funga camera na kuzitumia kinyuma na matakwa ya sheria.Miaka ya 2008 Kuna jamaa alifunga kamera kwenye chumba Cha gesti alichokua anakiuza kwa watu wa mchana short time . Akiingia mtu na demu wake au chele mhudumu anawaita watu kutoka kijiweni waje waangalie mchezo kwa gharama ya buku.
Wateja waliokuja kugundua huo mchezo walihama mtaa.
kutumika zitumike lakini tuwe na sheria ambayo itatengeneza mazingira mazuri matumizi ya hizo camera.Wacha ziendelee kutumika hadi kwenye mabanda yetu ya kuku, ng'ombe na bustuni za matunda na mbogamboga.... maana watu wawalikua wanaibiwa vyotefaida na mtaji😅😅😅
Huko kwengine kunakoitwa kwenye faragha kuwe na utaratibu wake wa wapi ziwekwe kwa usalama wa wote watoa huduma na walaji
sawa zimefungwa kwenye coridor unajua baada ya hizo kurekodiwa hakuna mtu anayejua hizo taarifa zinapelekwa wapi na zinahifadhiwa kwa mda gani Tunataka sheria ambayo itatupa muongozo.kwenye biashara ya mtu ni faragha?camera inafungwa kwenye coridor sio chumbani. Wewe unavua nguo kuanzia kwenye coridor?
✌kutumika zitumike lakini tuwe na sheria ambayo itatengeneza mazingira mazuri matumizi ya hizo camera.