Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,011
- 9,879
Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar
Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
Matusi kama yote ndio nini? CCM inakata roho mnaanza kutumia jeshi.Mtoa post ni muongo, huyo jamaa kawatukana askari matusi kama yote, na walikuwa kwenye msafara wakamvuta pembeni.
Ilete mkuu sisi wengine huwa hatujaji hadi tupate kuona mwenendo wa pande mbili.Sio kweli, huyo jamaa ni mjinga sana kawatukana hao askari matusi kama yote, ndio wakamvuta pembeni wakampa kichapo.
Ngoja nikuletee video nzima
Ndg Hata Haujui Kutetea Uongo wako. Je, aliyesimama na black clothing na ameelekeza mtutu sehemu, huyu je tupe ukweli tena. Inaonekana kuna sintofahamu sehemu hiyo, sema ukweli ambao utakuwa ni uongo tu kwa mjibu wa postst hii.Mtoa post ni muongo, huyo jamaa kawatukana askari matusi kama yote, na walikuwa kwenye msafara wakamvuta pembeni.
Huyo jamaa ni mpuuzi, we angalia hapo hiyo video yote katika hao wote wamemchomoa yeye tu. Huwezi kupigwa bila sababuHaha hao si wanajes
Matusi kama yote ndio nini ? ccm inakata roho mnaanza kutumia jeshi
Polisi wanaruhusiwa kugawa adhabu? Yaani kisheria tusi moja ni kipigo cha kiwango gani?Sio kweli, huyo jamaa ni mjinga sana kawatukana hao askari matusi kama yote, ndio wakamvuta pembeni wakampa kichapo.
Ngoja nikuletee video nzima
Ni kweli, mimi nilichopinga ni sababu ya mtoa post kusema eti kosa ni kuvaa shati la ACTBado pia sioni kama askari wana mamlaka ya kuchukua sheria mkononi, wangemfungulia mashtaka kwa kosa hili kwa kulingana na vifungu vya sheria
Okulikuwepo we kamanda gasho?!.
Kuna harufu ya damu
Halafu cha kushangaza huo umati wote wanamuangalia tu, hakuna anayemsaidia tena. Alijua sijui wenzake wataingilia.Ni ujinga na upumbafu kuwatukana wanajeshi wanaokulinda,waliwalinda wazazi wako wakati wanakutafuta kutoka kwenye maungo yao. Hao jeshi wanasimamia sheria tuliyojitungia(kwa kutumia vyombo vyetu kadiri ya katiba),kwa nini uwatukane sasa. Hao jeshi,wanatembea na silaha za moto. Maalim na TAL msiwadanganye watoto wetu,tunaumia sisi wazazi na ndugu. Lissu watoto wake amewaacha ulaya,maalim sijui wa kwake wako wapi.
Kwanini askari tangia mwanzo wa kampeni mpaka mwisho hawajawai pigamtu kwa kuvaa sare za ACT mpaka waanze leo?
Au kunakosa alilofanya huyo mkulungwa wa ACT?
Siungi mkono huyo kupigwa, ila nilikuwa namuweka sawa mtoa post kuwa sababu sio kuvaa shati la ACT bali sababu ni alitukana. Na ndio maana unaona kwenye huo umati wote wamemchomoa yeye tu, huku wenzake wakibakia kuangalia tu.Polisi wanaruhusiwa kugawa adhabu ?, yaani kisheria tusi moja ni kipigo cha kiwango gani ?