Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,466
- 5,180
kuiba kura za Chadema
Mmmmh,jamani kwa gap la matokeo yaliyo tolewa sasa hivi na ITV duh,....
ni vigumu kusema chadema inashinda.
kwa mujibu wa novatus makunga wa itv haya matokeo ya kata nne yamenistua
1. Ccm -730
cdm-372
2. Ccm-664
cdm-284
3. Ccm-1479
cdm-1085
4. Ccm-1078
cdm-590
ni balaa magamba yameishafanya vitu vyao vipi????
Ndio hivyo, jamaa wameshashinda!GIZA LIKIINGIA CCM WATASHINDA. Hyo ndio hofu yangu!
ccm 96 cdm 234,ccm 1078 cdm 590, ccm 1436 cdm 1085Kata nne mpaka sasa zimetangwa kata nne ambazo zote CCM wanaongoza, moja ya hiyo kata ni sehemu anakotoka mgombea wa CCM, kwa bahati mbaya majina ya kata sijayakariri vizuri
katika kata 4 zilizotangazwa sasa ambazo ni ngome ya CCM
CCM inaongoza kwa kura zaidi ya 1000..
kwakuiba kura nawajua nakimbuka miaka ya 90 babangu aligombea udiwan watu wa usalama wa taifa wakawalazimisha mawakala wakubali kusain kuwa mgombea wao (my dady) kuwa ameshindwa ingawa alishinda,,,,,ndo maana mi huwa nawaangaliaaa halafu nabaki kuwang'ong'a
Zile kura 11,000 (Elfu kumi na moja) za CUF za mwaka 2010 zipo wapi wajameni?. No doubt zile zilikuwa kura za wapenzi na wakereketwa wa CHADEMA.
Mtindo wa Matokeo ya Kata kwa Kata sitaki kuna kitu
Kata nne mpaka sasa zimetangwa kata nne ambazo zote CCM wanaongoza, moja ya hiyo kata ni sehemu anakotoka mgombea wa CCM, kwa bahati mbaya majina ya kata sijayakariri vizuri
Magwanda kusambaratika wakishindwa Igunga