Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

Status
Not open for further replies.
Mmmmh,jamani kwa gap la matokeo yaliyo tolewa sasa hivi na ITV duh,....
ni vigumu kusema chadema inashinda.
 
We all know how this is going to end. Wanawatanguliza kwanza kwa matokeo ya mjini then wanamalizia na ya vijijini baada ya kujua idadi ya kura wanazotakiwa kuchakachua!!!
 
Asanteni ITV kwa matoleo lakini huyu dada mtabgazaji salawili aliyovaa haijakaa vema maana tunaona pindo za nguo za ndani na ramani ya mwili wake hii haijakaa vema ina-distort information and her profile.
 
More Updates;

[TABLE="width: 192"]
[TR]
[TD="class: xl72, width: 64"] [/TD]
[TD="class: xl68, width: 64"]CCM
[/TD]
[TD="class: xl69, width: 64"]CDM[/TD]
[TD="class: xl70, width: 64"]CUF[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl66"]730[/TD]
[TD="class: xl66"]362[/TD]
[TD="class: xl66"]173[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]694[/TD]
[TD="class: xl65"]204[/TD]
[TD="class: xl65"]35[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl65"]1479[/TD]
[TD="class: xl65"]1085[/TD]
[TD="class: xl65"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"]1078[/TD]
[TD="class: xl67"]590[/TD]
[TD="class: xl67"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"] [/TD]
[TD="class: xl67"] [/TD]
[TD="class: xl67"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl71"][/TD]
[TD="class: xl67"] [/TD]
[TD="class: xl67"] [/TD]
[TD="class: xl67"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl72"]JUMLA[/TD]
[TD="class: xl68"]3981[/TD]
[TD="class: xl69"]2241[/TD]
[TD="class: xl70"]211[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Novatus Makunga - ITV
 
cdm inanikuna vyakutosha!hakika nahisi raha ya ajabu km niko climax vile!cdm gonga zigo hilo la magamba wanaowashwa mshawasha
 
Kuna haja ya kutungwa sheria kali ya kwamba anayekamatwa na masanduku ya kura feki laivu hana haja ya kupelekwa mahakamani aende jela miaka 10 moja kwa moja na na apigwe viboko 20 hadharani ili kuweka nidhamu kwenye uchaguzi. Huu uhuni utaendelea hadi lini?
 
We all know how this is going to end. Wanawatanguliza kwanza kwa matokeo ya mjini then wanamalizia na ya vijijini baada ya kujua idadi ya kura wanazotakiwa kuchakachua!!!

hili nalo ni la kweli
 
CCM inaongoza kata 4 zizilizotangazwa sasa hivi, ambazo matokeo ni rasmi.

Magwanda wanafatilia kwa karibu. Source Makunga ITV live.
 
Won't argue with you any more i think we are in thinking/listerning different WAVELENGTH!!! Good evening, morning, afternoon, night whichev appropriate to you depending wherever you are now!

In short matokeo ya vituo vya mjini vichache sana tells you mshindi ni chama pinzani au tawala, regardless of CCM or CDM or whatever!!!

Thanks Kasheshe actually I didn't ask you to argue with me. It's you who quoted my post brother/Sister whichever appropriate to you. We must be thinking in two different wavelengths as I am writing with an open mind you have closed mind because of your direct interest on livelihood for CCM being on power. I don't survive on politics and never will, Once I see CCM does what is right for my country will be on their side, the actions which which they are lacking for now apart of doing 'POLITICS FOR SUBSISTENCE'.

Povu linawatoka CCM wakiona wananyang'amywa tonge!. Kwa CCM Madaraka ni kuishi kwa kuwaibia wananchi na kushinda kiujanja ujanja. Mimi interest yangu ni kuona Tanzania yenye demokrasia ye kweli itakayowafanya watawala kuhamaki kuwa wasipofanya ya wananchi watafukuzwa kazi next election. System ya sasa inawapa kiburi CCM na kuona wananchi ni Second grade kwani madaraka yao hayatokani na wananchi.
 
Mkuu, Igunga kuna kata ngapi? sithiemu wataiba cdm wasipo kuwa makini, kaba man2man mpaka kieleweke. Mdee fanya kazi, tumechoka na sihasa chafu. Good keep it up mama.
Wakuu matokeo yanayotangazwa na Novatus Makunga YANATISHA! Makamanda hizi ndio dk za kuwa makini.
 
Ndio wameanza hujuma zao kama kawaida
 
Kazi.jpg

Duuh utaua
 
Najua magamba watafanya hujuma, lakini kuna mistake ndogo sana watafanya ambayo ita spoil kila kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom