Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,143
- 7,403
vipi jamani mbona kimya wadau!
kutiki wasu!!!
binadamu wote si sawa..
vipi jamani mbona kimya wadau!
Kwa matokeo haya hata upewe milioni 40 kuyabadilisha hauwezi!!
Yeah! hata mimi hapa nilikua napata DB error. nikafikiri hujuma za magamba zimeingia na humu.kulikuwa na databse error...
huu msamiati una maana gani naona hata Lusinde aliutumiaKudadeki! The beginning of the end!
kutoka kwa kamanda lema ccm imechukua kata 3 chadema 14...kwa sasa ni kujumlisha matokeo ya jumla ccm wamejaribu kuja na matoke yao uchakachuaji unashindikana kabisa ndani yupo lema na nilishasema ccm walitabiriwa kuchukua kata 5 lakini tuliahidi kuzipunguza na tumezipunguza...piposss powerrrrrrrrrrr
huu msamiati una maana gani naona hata Lusinde aliutumia
Sijawahi kuwapa wachungaji kalenda za CCM. HABARI YA MATOKEO AMA KULA KWANGU TUTAJUA TAR MOSI
Baridiiiiiii tar mosi nina uhakika na nitakuwa na skafu shingoni na kwenye mikono yote miwili nikishangilia. Unatamani sana nipate aibu lakini sio arumeru labda jua litokee magharibi kwenda mashariki
Utaona tar mosi kama walielewa au la. Reading from their faces wameelewa sana ndio maana inakuuma. CCM INASHINDA
Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA
April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE