MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Hongera nasari!

Pipoz pawa ni kidedea na nassari tayari ameshakabidhiwa cheti cha hon.Tayari kwa kujongea mjengoni!.Leo sipigi mswaki siku nzima maana sioni harufu mbaya haipo na kumbe ilikuwa inasabishwa na magamba.Wapi ritz,na magamba wenzio?.Chezea pipoz pawa weye!!,ccm hamna chenu hapa tz mmeshachokagwa long time na mbinu zenu chafu zote had sasa zinafahamika mtakuwa wageni wa nani?Pipooooz pawa ni nouma.
 
Makumira A.Ccm 42,cdm 118,B.Ccm 42,cdm 100,C.Ccm 50,cdm 92,D.Ccm 40,cdm 68 Rejao nasikia yuko I.C.U.Magamba mmechokwa na watanzania mtajibebaje?
 
Huu ni ushahidi kwamba watanzania wamechoka. Ni vema CCM ikazisoma alama za nyakati na kufanya marekebisho ya dhati. Pamoja na kuwa Mwana CCM, napenda uchaguzi 2015 CCM tushindwe, tukae nje ya dola, tujirekebishe. Ningependa kisiwepo chama kitakachoshika madaraka zaidi ya miaka 10, vinginevyo nchi inabadilika na kuwa kama ya kifalme, wekubwa kurithishana vyeo. Unayajua majina!!:smile-big:
 
Unmalolisema ni kweli ccm hawataweza kujirekebisha wakiwa ndani ya utawala litawezekana tu wakiwa nje na hapo ndipo mtihani ulipo.
 
Status
Not open for further replies.
196 Reactions
Reply
Back
Top Bottom