labda kama kura zilipigiwa hapa JF
Yatatangazwa saa yoyote kuanzia sasa. CDM by like 70%. Im mad as hell!Mbona kimya sana huko Arumeru?
uko hapo Arumeru ama uko wapi wewe ndugu yangu.!?
Unanitia roho ya kukesha nikiimba "PEOPLES POWER".
yahaya awaponda wakina zito wanao post ujinga kwenye twiter''
hivi kuna picha hapo? nimeomba jumla, not a picture!!!!!!!!!!! kama hutaki potezeawewe kusoma hujui hata kuangalia picha napo hujui acha uvivu wa kufikiri wewe
Huku tukiyapokea matokeo ya awali kwa matumaini, kumbukeni kutangulia sii kufika!. Busanda na Biharamulo ilikuwa hivi hivi, mpaka tunalala usiku wa manane, mji mzima walikuwa wanasheherekea ushindi, kufika asubuhi, CCM ikaibuka kidedea!.
Kwa taarifa tuu, CDF, IGP na Mkurugenzi wa TISS, wako macho usiku kucha huku vijana wa Hosea wakizuga zuga!.
"The end justifies the means!", uchaguzi uliisha!.
Pasco nilikwambia tutakutana siku ya uchaguzi unakumbuka????? Nipo na wewe hadi matokeo ya mwisho
naomba kuuliza tena chadema waliweka ulinzi vijijini??
News alert: Magari ya viongozi wa magamba yaanza kuondoka usa River kuelekea Arusha kwa spidi kali. Mtoa habari wangu asema the game is up for CCM -- hawataki aibi ukawakuta pale.
yahaya awaponda wakina zito wanao post ujinga kwenye twiter''
Kudadeki! The beginning of the end!
Kudadeki! The beginning of the end!