Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

hebu nieleze mkuu alitoboa baada ya hapa..Mh Joseph Mbilinyi akizungumza (Michuzijr Blog). - YouTube au hapa pia? Sugu_Interviwe Part_1.flv - YouTube .link ya kwanza inamuonyesha sikio la kushoto, link ya pili inaonekana kwenye sikio la kulia kama ulimkuta kavaa hereni sawa yaweza kuwa alibana na ikampendeza huko,watu aliowaomba awawakilishe au mpinzani wake angeliona hilo sidhani kama angelifumbia macho jambo hilo,
Hahaahaaa! Mkuu Foundation is a skin coloured cosmetic...unaijua hii kitu?
 
Mkuu hao watu unafikiri wanajua hiyo kitu?sugu alikua anaweka magnetic earrings na si kua alitoboa sikio!wao wakiona mtu kavaa hereni wanajua katoboa sikio!kukosa exposure mbaya sana,ebu mtupie hiyo link ya youtube lumpen mmoja humu anaongea utumbo anaitwa Bucho
 
April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE
 
April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE

Una uhakika gani au mmeshanunua kadi za wapiga kura wote'hivi mambo mnayofanya kuibia wananchi kura zao huogopi siku ya kufa utaenda kuchomwa moto?
 
Mkuu kwa hiyo kama wewe ni Chadema hautakiwi kuwa na maadili? Unataka kuniambia Joseph Mbilinyi (Sugu) kutoboa kwake sikio anapata Excuse, sababu Chadema hawana maadili?
Ritz unauliza jibu ama swali
 
sipingani na wewe mkuu lakini hata hao mapasta wanakuwa wanawawakilisha na kuwaongoza watu wa namna hiyo na wenye kufanya mambo hayo,kwa mashekhe napingana kabisa na wewe,huwezi kumpata mwenye kutoga masikio...kwa wameru hakutogwi masikio asa kwa vip useme these are petty things..hili ni geni kwa upande wetu haliwezi kuwa dogo hata lifunikwe vipi

mkuu, naona unatumia nguvu nyingi kuelewa jambo dogo. Kama umenisoma vizuri nimeandika kwa nyakati kama hizi, vitu kama hivi sio muhimu kupewa uzito, fungua akili ujue na ukubali tumepanda basi la utandawazi. Ungekuwa una exposure ya kutosha usingejitesa ku-mind hii kitu. Mimi hata kama angesema kbs yeye ni bwabwa, isingenisumbua. Wajanja wanajua vigezo vya kupima watendaji.
 
Hili la sikio nafikiri halina mashiko maana hata jaji mkuu wa Kenya lilimleta taabu sana wakati anaomba nafasi hiyo lakini mwisho wa siku alipita. Ila la uraia naona ndilo tatizo kubwa
 
Siyoi.jpg Huyu ndiyo Siyoi!!
 
April kumi Sioi Sumari anakwenda kuapishwa. Anayebisha aombe uzima mpaka siku hiyo. CCM NI NA ONE

Najua hiyo ndio sala yako ya siku tangu Sioi alipoapishwa. Lakini nakusikitikia kwani kwa kipindi hiki ndoto zako hizo ni kama zile za Abunuasi. Karibu mheshimiwa kwenye siasa za Arusha na sahau kuhusu Igunga.
Hebu turudi kwenye mada. Ni kweli Sioi ametoga sikio? Kwa lengo gani? Ni kweli alitobolea hilo sikio Mombasa. Naamini utanipa majibu ya uhakika sababu wewe ndiyo mti wake wa karibu kwa sasa.
 
Hahaahaaa! Mkuu Foundation is a skin coloured cosmetic...unaijua hii kitu?

niambie zaidi wewe unayeitumia, mie nijuavyo na kwa vielelezo nilivyovitoa hilo ndio jibu langu
 
Aliyeweka hii na wote waliojadili HAMNA KAZI. Kwa waliojadili mnaonekana waj***a kuliko huyo aliyeanzisha; kuweni makini na utumbo kuna mambo mengi ya maana ya kujadili . kama hamjui kuina watu wengi wanapita humu jamvini msipende kuonyesha ufinyu wenu wa b***o
 
najua inachoma kuwa mvumilivu katika kulinywa mlishalikoroga wenyewe tena kwa mbwembwe yingi tu,hao wanaopita pita nao tu kwani sie ndo tuliomtoboa siyoi masikio
 
Aliyeweka hii na wote waliojadili HAMNA KAZI. Kwa waliojadili mnaonekana waj***a kuliko huyo aliyeanzisha; kuweni makini na utumbo kuna mambo mengi ya maana ya kujadili . kama hamjui kuina watu wengi wanapita humu jamvini msipende kuonyesha ufinyu wenu wa b***o

huyu nae katutokea wapi tena?? Umepitia posts zote mwanzo mpk hapa, hyo tosha ni ushahidi na wewe huna kazi, alaf ujue leo ni wkend j2, watu tunakula breeze, tuko na jf, great thinkers. Wewe tatizo hujitambui. Step aside dude!!
 
mjinga wewe ambaye unasupport vitu vya kijinga,kutoboa sikio si bora angeachana na siasa aende kuwa mwanamuziki siasa zina maadili yake kama hujui uliza kwanza ndio useme sio unakurupuka tu kama umeshikwa ugoni
 
Back
Top Bottom