MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
The only accomplishment ya CCM in Ar. east ni kurudisha msemo wa kudadadeki kwenye chat. KUDADADEKI MAGAMBA
 
viongozi wote wa ccm wameondoka arumeru'haijulikani sababu za kukimbia wengine wanadai eti wakitangazwa washindi jeshi la polisi linaweza kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira'wengine wanadai wanakimbia aibu ya kushindwa'hatulali leo

Wachawakimbie matokeo yatawapata huko waliko......huo ni mwiba wa makalio huo!
 
Makumira A.Ccm 42,cdm 118,B.Ccm 42,cdm 100,C.Ccm 50,cdm 92,D.Ccm 40,cdm 68 Rejao nasikia yuko I.C.U.Magamba mmechokwa na watanzania mtajibebaje?
 
Ee Mungu leo Jumapili ya matawi imekuwa ya matawi kweli.CDM inashangilia ushindi kwa matawi ya miti
 
subirini total maana hawa ni wataalamu wakugeza tarakimu hadi god hapendi..
 
Makumira A.Ccm 42,cdm 118,B.Ccm 42,cdm 100,C.Ccm 50,cdm 92,D.Ccm 40,cdm 68 Rejao nasikia yuko I.C.U.Magamba mmechokwa na watanzania mtajibebaje?

Ritz yeye nasikia amekimbizwa Muhimbili.Amewekewa mashine ya kupumulia
 
Makumira A.Ccm 42,cdm 118,B.Ccm 42,cdm 100,C.Ccm 50,cdm 92,D.Ccm 40,cdm 68 Rejao nasikia yuko I.C.U.Magamba mmechokwa na watanzania mtajibebaje?

hayupo icu wakati wapo vacation na mwali akisikilizia kipigo cha jana dhidi ya qpr lazima wknd hii augue full majonzi..
 
kudadadadaaaaaaaaaaaafadaddadd adda deikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

[video=youtube_share;1lSaLItmj-c]http://youtu.be/1lSaLItmj-c[/video]
 
Hizi ni baadhi ya Posts za Mwigulu LM Nchemba wakati wa campaign, ukizisoma sasa hivi ni vichekesho tu, inakua ni kama tunaongelea historia ya miaka mingi nyuma k

hapa akijiamini sana, anasema



sina uhakika kama sasa hivi atakua na skafu yake kama alivoahidi hapa,


hapa alikua anajitapa kwamba wapiga kura wameelewa sana, sasa sijui wameelewa nini, ile hotuba ya lusinde?


hii hapa inanifanya nicheke tu, jamaa alikua hajaujua moto wa nyerere bado


ili isiwe ndefu tumalize na hii

Teh!teh! Teh! Anachekesha! mwambie sisiemu kure arumeru walifuata majan ya kunde buchani!
 
Mie mwenzenu bado sijaamini kabisa! maana hawa ccm hawaaminiki kabisa.
Sishangilii hadi TUME imtangaze Nassari na nisikie na kuona kwa macho yangu
 
dogo kawaua ccm na mafisadi
[video=youtube_share;A7Ng3Y0fa80]http://youtu.be/A7Ng3Y0fa80[/video]
 
NEC-CCM ndo waamuzi jamani,embu tupeane ya kata ili kama ikiwa kama vituoni wengine tulale kwa amani.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom