MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Jamani, samahani mbona baadhi ya vituo data zinatofautiana na zinazoonyeshwa na Star tv?

usishangae wandishi wetu wote wapo kwenye ajali, wamekufa watu 12 lakini kesho kila gazeti na takwimu yake na kila mmoja anasema alikuwepo kwenye tukio ama hospitali
 
huwa nakuamini sana hata ya igunga ulisema ukweli na mwishowe matokeo yakawa hivyo. thanks


kwa taarifa yako viongonzi wa ccm akiwemo hata mgombea wao huyo mtoga sikio hawapo usariver.....wameondoka na kueleka arusha mjini.....hawataki aibu iwakute wakiwa hapo
 
Hivi neno kudadeki lina tatizo gani? Mi nimeanza kuliona tangu enzi za katuni ya Kadogoo ya Bondaboy japo nadhani nimekuwa (tumekuwa) nikitumia neno "kulaleki" kabla ya kuanza kusikia kudadeki. Naomba ufafanuzi hapa hata kama ni kwa lugha ya kificho (kama lina maana mbaya).

Ni tusi kwa akina dada. Ni sawa na ku**mako. Sema watu wengi hawajui maana yake.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Kwa matokeo haya hata upewe milioni 40 kuyabadilisha hauwezi!!
 
kwa taarifa yako viongonzi wa ccm akiwemo hata mgombea wao huyo mtoga sikio hawapo usariver.....wameondoka na kueleka arusha mjini.....hawataki aibu iwakute wakiwa hapo

hahahahaha na yule mbunge aliyekuwa anaporomosha matusi kwenye majukwaa amekimbia?
 
mwanakijiji anasema:


Mtandao wa JamiiForums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya Jimbo huko Arumeru Mashariki kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake Bw. Joshua Nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa CCM Bw. Siyoi Sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti CDM imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za CCM.

Chama cha Mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa CDM.

Naomba source please!
 
Makosa ya Igunga kwa mwenye akili hayajirudii ni bora kukosa usingizi wa siku moja lakini ukapata haki yako ya kufurahia kwa miaka mitatu
 
looks like inabidi tukalale, naona ITV wanaaga
 
Leo nitaMalima hadi asubuhi!


Mkuu Edson asante sana kwa kufukuza usingizi uliokuwa unaninyemelea!!!
Nimecheka hadi basssssi!!
Pamoja sana mkuu nakukubali.
Ee mungu iongoze CHADEMA!
 
Magamba kakojoeni mkalale giza limeshaingia
 
Ni tusi kwa akina dada. Ni sawa na ku**mako. Sema watu wengi hawajui maana yake.

Aisee!! Mi nimekuwa naliogopa neno kubabake kwa kuwa limekwepesha neno "mama" na kupachika "baba"... sasa hii kudadeki inakuwaje...!!?? Dah, hebu ngoja tujaribu kuliondoa vichwani. Poa, ngoja tuendelee na presha za Arumeru Mashariki.
 
mtandao wa jamiiforums waweza kutangaza kwa uhakika kabisa kutokana na vyanzo makao makuu ya jimbo huko arumeru mashariki kuwa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimeshinda uchaguzi mdogo ambapo mgombea wake bw. Joshua nassari ameibuka kidedea baada ya kumbwaga vibaya mgombea wa ccm bw. Siyoi sumari. Matokeo yanaonesha hadi hivi sasa baada ya zaidi ya asilimia 80 ya vituo vyote kuripoti cdm imeshinda kata 14 dhidi ya 3 za ccm.

Chama cha mapinduzi tayari kimekuballi kushindwa na kutoa pongezi kwa mgombea wa cdm.

my take:
bila ya shaka uongozi wa taifa wa cdm hauna sababu ya kujiuzulu kwa wakati huu! Upepo umevuma upande wao na mtumbwi unaelekea kwenye ushindi 2015:

hongera nyingi kwa chadema
 
Jamani si mniambie CDM imeshinda nilale kwa amani mie......
 
hahahahaha na yule mbunge aliyekuwa anaporomosha matusi kwenye majukwaa amekimbia?


hayupo.....hata yule jamaa toka hifadhi ya gombe hayupo.....na huyu ndiye aliwpa wa,e wazee waliokamatwa ziel kura 1000 wazipeleke kituoni
 
Zitto hajapost ujinga kule. Wala hajapost chochote kuhusu Arumeru. Kapost kuhusu matokeo ya chaguzi za udiwani ambazo ni kweli na kumongezi mbunge wa Kigamboni kwa CCM kushinda kushinda kiti cha udiwani huko Kigamboni. Au ndio ujinga huo?
labda hapo alipo amekunja ngudo Chadema ishindwe ili aweze kutimiza malengo yake kuelekea 2015
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom