Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA
Kwanza nimecheka sana! Hivi ni kwanini watu wote wasiyoipenda Chadema wanampenda Zitto?Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA
Najua kiboko yako VN amekutuliza na husikiki kabisa, hiyo ni namba nyingine, ichokoze siku moja uone moto wake, babu yenu alijaribu kubip akapigiwa akaondoka bila kuaga sijui kama atarudi tena.Sina mashaka na Arumeru. CCM INASHINDA KWA KISHINDO UTAONA. MIMI NAENDELEA NA KAZI YA HADHARAN NA MIKAKATI UTAPATA MAJIBU. UNAFIKIRI SLAA ANALIALIA BURE? NADHANI CDM IJE SIKU MOJA ITUME MTU KAMA ZITO ANAWEZA KUWA NA JIPYA HAWA WANAOTUMWA HAWANA NENO JIPYA SUBIRI MWONE. KAZI MAHASIRA TU HAMNA HOJA
Well tuongee ya Arumeru, kama mnajiamini kushinda kwanini mlitaka kuongeza vituo hewa 55?boloji hakutajwa wa singida bali iramba na nilivyomwelewa alikuwa anamaanisha mimi mkuu. Ila labda tuongelee arumeru bro kwa iramba kaka muda bado tutatathmini kwa sasa yeye kama alidhan ana kampen through harambee tuombe uzima tutajua nani zaidi. Iramba ndio walinichagua wakiona nafaa watanichagua wakiona sifai wataniacha hili sio lakubishania maana wenye mamlaka ni wana iramba ndg. Mimi nitafanya nilichonauwezo nacho hukumu juu yao
Kwanza nimecheka sana! Hivi ni kwanini watu wote wasiyoipenda Chadema wanampenda Zitto?
Yaani mashabiki,wanachama na viongozi wote wa CCM na CUF ikitokea thread yoyote hapa jamvini
inayomuhusu Zitto au Chadema basi ni lazima wawe upande wa Zitto! Hivi ni kwanini?
Yaani leo hii imefikia steji Mwigulu anapendekeza Zitto aende Arumeru kuliko kiongozi yeyote wa CDM?
Kwahiyo wabunge wote wa CDM na viongozi wote hawana akili isipokuwa Zitto peke yake? Mmh!
Mmh inakuwaje wapinga CDM wote wanampenda Zitto tu?
Well tuongee ya Arumeru, kama mnajiamini kushinda kwanini mlitaka kuongeza vituo hewa 55?
Kwasababu zitto hana chuki za kidini na ubaguzi kama viongozi wengine wa chadema
Ila Zitto kuwa chadema flag bearer anaota ndoto za alinacha hajui hicho chama kiko kwa ajili ya kina nani?
Anatumika kama toilet paper wanamtafutia kona ndogo wamtimue..
VIP! Leo umepata kidosho cha kukuliwaza?boloji hakutajwa wa singida bali iramba na nilivyomwelewa alikuwa anamaanisha mimi mkuu. Ila labda tuongelee arumeru bro kwa iramba kaka muda bado tutatathmini kwa sasa yeye kama alidhan ana kampen through harambee tuombe uzima tutajua nani zaidi. Iramba ndio walinichagua wakiona nafaa watanichagua wakiona sifai wataniacha hili sio lakubishania maana wenye mamlaka ni wana iramba ndg. Mimi nitafanya nilichonauwezo nacho hukumu juu yao
atimke tu chadema si baba wala mama yake.mbona vyama vipo vingi anaweza join chochote mshawishn aje ccm.cdm ipo moyoni mkuu watu tu mavumbi akuna atakae dumu wala ajuae kesho
Aibu kubwa CCM na Tume wabakaji wa haki za wapiga kura ole wenu ipo siku mutakimbia nchi vituo 55 haya jiandaeni kukimbia na masandukuCcm sio tume ya uchaguzi. Hatushughuliki na vituo vya kupigia kura
Alitokea hapa last week nikampa tshu tshu za uso sijamsikia tena JF, Arumeru, kwenye Magazeti wala kwenye Video labda anaumwa au kapata Mjane wa kuvinjari nae sijui mke wake anamatatizo gani huyu Jamaa mpaka apende kutafuta wake wa Masikini wa Tanzania sababu ya Pesa zake, namuachia Mungu aisee.