MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
majani ya chai hakupitiki, mabomu yanapigwa..

Gari la Bosi wa polisi limepigwa na kuvujwa vioo!- Makunga/ITV
 
wakuu kama chaguzi za tanzania ndio hivi ccm itatawala milele'arumeru viongozi wote wa kitaifa chadema wapo pale lakini bado ni ngumu je kwa nchi nzima itakuwaje?? Mimi naona tanzania tusitegemee free fredom

nchi nzima hata kwa ccm ni ngumu.
 
Jamani, samahani mbona baadhi ya vituo data zinatofautiana na zinazoonyeshwa na Star tv?
 
Kama kweli mshindi atakuwa ni Chadema, basi naona watanzania taratibu wanaanza kuwa na uelewa hasa wa kutambua kuwa wako hivyo walivyo kutokana na sera mbovu za CCM. Binafsi nitafurahi sana kama Chadema atatangazwa officially mshindi wa Arumeru mashariki.

Duh tangu ujiunge januati mwaka jana leo ndio umetuma post ya nne??? ulipoteza password au ulipigwa kitanzi cha mwaka?
 
Hapo mnamwonea bure, neno lolote linaweza tamkwa na mtu yeyote.

siyo mtu wa kaliba ya kitila.....unataka kuniambia kitila nae is a person who cannot think beyond the next meal?
 
Ila rekebisha hilo neno kwenye red Mkuu.

hilo neno(red) linatamkwa na watu kama lusinde sio wewe mkuu

Hivi neno kudadeki lina tatizo gani? Mi nimeanza kuliona tangu enzi za katuni ya Kadogoo ya Bondaboy japo nadhani nimekuwa (tumekuwa) nikitumia neno "kulaleki" kabla ya kuanza kusikia kudadeki. Naomba ufafanuzi hapa hata kama ni kwa lugha ya kificho (kama lina maana mbaya).
 
Hasara kubwa ni hela waliyomwaga kwa vijana pale USA River kwa vijana wa pikipiki, J. Makamba akiongoza kutoa wakiwa na Babu BM. Kweli vijana wametumia vizuri kauli ya "Hela Chukuwa kwa Vile Wanarudisha, ila Kura Pigia CDM".
 
siyo mtu wa kaliba ya kitila.....unataka kuniambia kitila nae is a person who cannot think beyond the next meal?

Binadamu wote ni sawa, tatizo bongo ndo huwa tunawagrade watu harafu baadae wakiwa miungu mtu tunalalamika.
 
Nasikia wagombea ubunge wako ukumbi wa kuhesabia kura,kasoro wa ccm.Kwahiyo natumaini usalama wa kura utakuwepo,incase ccm hawatarusha bomu la mchozi hadi ukumbini.ITV
 
Mkuu kwani chadema hawana computer specialist wao???

Kama utakumbuka kwenye uchaguzi mku uliopita baada ya vyama kupeleka wataalam wao wa IT waligundua mapungufu mengi kwenye hiyo system na wakakubaliana kuwa kura zihesabiwe kwa mkono lakini tume walituma waraka kwa wasimamizi wa uchaguzi kuwa watumie computer kitu ambacho kilileta mgogoro sehemu nyingi.

kiukweli computer inachakachua matokeo live
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom