MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka uzini tumaini alianza kwa mbwembwe alipopotea tu mambo yakawa yameharibika, lisije likajirudia hili leo

Mfumo unaendelea kupokea matokeo very effectively and efficiently, mpaka sasa tumeweza kupata matokeo ya kata zote 17. CCM wameweza kuongoza kata 3, CHADEMA kata 14. Tunachopmabana sasa kucompute ni percentage pia kuhakikisha fomu tunazipata maana kama mjuavyo fomu ndiyo ndiyo ushindi. Kazi inaendelea wakuu.
 
Makene source yako ni sawa na MMM?........
 
Mfumo unaendelea kupokea matokeo very effectively and efficiently, mpaka sasa tumeweza kupata matokeo ya kata zote 17. CCM wameweza kuongoza kata 3, CHADEMA kata 14. Tunachopmabana sasa kucompute ni percentage pia kuhakikisha fomu tunazipata maana kama mjuavyo fomu ndiyo ndiyo ushindi. Kazi inaendelea wakuu.

Makene source yako ni sawa na MMM?........mtaua Rejao na Ritz jamani!
 
Mfumo unaendelea kupokea matokeo very effectively and efficiently, mpaka sasa tumeweza kupata matokeo ya kata zote 17. CCM wameweza kuongoza kata 3, CHADEMA kata 14. Tunachopmabana sasa kucompute ni percentage pia kuhakikisha fomu tunazipata maana kama mjuavyo fomu ndiyo ndiyo ushindi. Kazi inaendelea wakuu.

Hope makene, hata sisi hatujalala,mnalitetea taifa tupo pa1.
 
leo ilikuwa ni jumapili ya matawi na CDM watashangilia ushindi wao kwa matawi.
 
Nilisema magamba lazima mjibebe fungasheni virago vyenu arumeru mash.Kwan hamna chenu huko.Na piaaa kiwira na kirumba na kusini tumeshawa vua chu..P zenu mko waz nyuma.Wera wera pipoz pawa,hakuna kurara mra mpaka kieleweke maana vita n vita mra.
 
asante sana mkuu! yan tukishindwa hapo tena NEC must teke responsibilities!!!
 
Inapendeza kwetu tuliombali kidogo na eneo la tukio hebu watu mjitahidi kuweka taarifa zenye usahihi ikiwezekana kama kuna matokeo ya kata itakuwa vyema zaidi.Watu tuanze kurukarukaaaaaa!!!
 
kata ya ngerenanyuki kuchelewa na inawezekana ccm wameiba

Kaka ni kwa sababu ya umbali tu. Kule kuna maeneo mengine hata barabara ni za kutafuta kama vile Kisimiri Juu na Kisimiri Chini. Lakini matokeo yanaendelea kukusanywa kata hiyo na tunafanya vyema. Fomu zake zinasubiriwa kwa hamu. Hatuna wasiwasi eneo hilo lilikuwa chini ya udhibiti wa Kamanda mahiri sana, Rose Kamili.
 
wasira anaelekea moshi kwa sasa.....nape nnauye ameshaonda arusha .mwiulu nchemba yuko arusha mjini akiwa ameshika skafu yake mkononi yuko pamoja na sioi
 
Mwigulu atakimbilia pande ya Singida
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom