Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Msaada kwenye tuta jamani.

Nimesoma taarifa ya Waislamu sijaona mahali wakilaani ukoloni wa Kiarabu na Biashara yao Haramu ya utumwa.

Je waarabu hawakutugawa na kututawala??

Uarabu ni sehemu ya Utanzania??

Uarabu ni Uislamu??

Hapa USA nina marafiki lundo wa Kikristo kutoka Saudia, Misri, Lebanon, Syria Iraq na Iran.
Kizuri zaidi ukristo wao haukupelekwa na Wazungu waliupata moja kwa moja kutoka kwa Wanafunzi wa Masihi Yesu.

Taarifa hii ya Waislamu inalenga kuukumbatia Ukoloni wa Kiarabu, kuukuza utawala wa ukoloni wa kiarabu kule Zanzibar na Biashara yao ya kuuza miili na Roho za Watanganyika kwao Uarabuni kuwa sehemu ya Uislamu.Aidha ina nia ya kudumisha mila na desturi za ukoloni wa kiarabu na kudharau desturi na mila za ukoloni wa kizungu jambo ambalo haliwapi heshima wala utukufu wowte.

Wazungu walileta dini wakafanya biashara ya utumwa wakatutawala kikoloni. KAtika biashra ya utumwa waliuza waafrika na kuwanunua kama bidhaa, walilala na watumwa wakazaa machotara, wanaume wa kiafrika waliendelea kuzaa na wanawake wa kiafrika na kuendeleza kizazi utumwani.

Waarabu walileta dini wakafanya biashara ya utumwa wakatutawala kikoloni. Katika biashra ya utumwa waliuza waafrika na kuwanunua kama bidhaa. Walilala na wanawake weusi na kuzaa machotara, kibaya zaidi waliwakata pumbu,kuhasi, wanaume wote ili kizazi chao kife.

Wazungu na waarabu wote walikuwa ni wakoloni, walituachia makovu mengi. Mengi ya makovu waliyotuachia ndiyo sababu ya tofauti zetu.
 
Hivi hawa jamaa wako je yaani mi nashindwa kuwadifine yani wanakomalia vitu ambavyo havipo wanaacha ya msingi mbona hawa kemi ufisadi uliokitili nchini, hawatoi tamko juu ya dowans,kupanda kwa umeme,mafuta,gesi,mauji ya raia yanayo endelea na mengine kama haya kazi kueneza chuki tu na uhasama. Wanasema wametegwa mbona hawaimbii serikali direct wanasingizia wakatoliki. Haya saiv viongozi wakubwa wengi ni wao tukianza na Jk,mwema,chande othman,bilal na wengine kwanini wasiwatumie hawa kudai hayo madai kuliko kunza kusingizia katoliki yani kiukweli hawa watu wanapenda shari tu ,wanataka waanze kujilipua na kuuwa watu hapa hakuna jipya mi wameni kwaza na Waislam wenye akili kama prof. Lipumba,Safari,Shavji na Narji hawawezi kuunga mkoko upupu kama huu

Wanatakiwa kwenda Tunisia kwa Waislamu wenzao walioamka na kupigwa shule.
Wenzao kule wamemtimua muislamu mwenzao aliyewatia utumwani kwa Hila na Ufisadi. Wao hapa Tanzania wanadhani kitendo cha kuwa na Rais na Makamu waislamu ni dalili kwamba sasa Utawala ni wa haki na sheria.
Uislamu ni dini matendo na imani ya mtu, jina kanzu Barghasia na kikoi kwamwe havimfanyi mtu kuwa muislamu.
 
Niwaambie ukweli, mwenzenu hadi hivi sasa siwezi, sitaki, sikubali na wala sifikirii kukubali kuwa hili ndilo lilikuwa tamko rasmi la hao viingizo wa Kiislamu. Nakataa.
 
Nimekupata kaka ila tatizo letu sisi waislam hatuwezi ku walk on our words, hao walioandika huo waraka wakipigwa mpunga na pesa kidogo wanauza maslahi yetu kwa kitu. Wachache sana wenye kuweza kusimama kidete mfano Sheikh Ali Basaleh lakini hana msaada wowote.

Mfano kwenye ilani ya chama chetu tawala ya mwaka 2005 iliyoandaliwana idara ya itikadi na uenezi ya chama na kupitishwa kwenye CC ya chama kulikuwa na kipengele cha mahakama ya kadhi. Tuache unafiki wote waliisifia ile ilani mapadre, makasisi na mashekhe wakamuita JK chaguo la Mungu. Ilipokuja mjadala wa mahaka ya kadhi kilichotokea sote tunakijua.

Silaha ya waislam ilikuwa kwenye sanduku la kura lakini kwa mgawanyo wetu na unafiki wetu yaliyojiri mnayajua sina mengi ya kusema ila ukweli utabaki pale pale. Itatuchukua miongo mingi sana kujipanga kupata solution ya matatizo ya kiislam na uislam.

My Take,

Waislam hawawezi kubadilika na hawatabadilika.

Ahsante sana Mkuu. Waislamu wengi ni wanafiki sana. Wengine wanadiriki hata kusema kwamba Kikwete anaandamwa kwa sababu ni Muislamu na hivyo wanamuoandama ni Wakristo kwa kuwa wanataka Rais awe mkristo mwenzao.

Ukiwaambia anaandamwa kwa kuwa ni kiongozi mbovu na kuna ushahidi wa kutosha kwamba kazi ya kuongoza nchi imemshinda hawakuelewi hata kidogo kwao wao Kikwete kafanya mengi sana. Sijui mengi yepi ambyo yamefanywa na Kikwete ukiondoa usanii.
 
It kinda hilarious how these Islamists ungaunga-d hii habari mpaka itake kufanana na ukweli, ingawa obvious haileti mantiki yeyote na ni uongo wa mchana kweeupe..lol

Lakini IMO i think they pose a danger thru upotoshaji wao maana u neva know wangapi will buy their garbage..na ni vema wakachunguzwa undani wao hasa ni kipi wanachotaka ku-achieve na nini nguvu iliopo nyuma yao. Kuendelea kuwafumbia macho tutaja vuna ubua.
 
Topical,

Hiv wewe, hujishangai kila mtu anakupinga hapa Jamvini, hata waislam wenzako tunakupinga kwa hoja zako dhaifu,zilizojaa Fitna,uhasidi,uchochezi,zina expose jinsi brain yako ilivyo shallow sawa na hao mashekh waliotoa huo waraka, hebu hiv mtu kama Prof Abdalah Safari anaweza ku support upuuzi unaoulte hapa ambao ni tamko la VILAZA wachache wanaojiita viongozi wa dini yetu tukufu.

Sikiliza Kaka, uislam sio ujinga kama unayvo ji express wewe, sisi wengine ni waislam,tumesoma, tuna Degree zetu (Mimi ni Engineer),tunafanya kazi zetu,tunapata kipato na tunaendesha Familia zetu,suala la ugumu wa Maisha ya Mtanzania sio la Tatizo letu pekee, ni Tatizo la hata pia wenzetu wa kristo, hebu jiulize,R OSTAM ni muislam safi (anajiita hivyo), lakini unaona matatizo karibu yote tuliyo nayo chanzo ni yeye,hatuwezi kumtetea eti kwa sababu ni muislam mwenzetu.

Kusema kuwa hatuwezi kujadili katiba mpya hadi tupewe haki zetu ni upuuzi kubwa sana,hiyo ni Janja ya CCM kukutumia (Upumbafu wa viongozi wetu) kuuwa moto uliowashwa na Wa Tanzania juu ya kupata katiba mpya..
Wanaompinga ni nyinyi nyinyi.Waislamu kweli tumeona nyote hamna la maana.Topical peke yake anawaweza.Ikibidi tutaingia kati kumsaidia.
 
Msaada kwenye tuta jamani.

Nimesoma taarifa ya Waislamu sijaona mahali wakilaani ukoloni wa Kiarabu na Biashara yao Haramu ya utumwa.

Je waarabu hawakutugawa na kututawala??

Uarabu ni sehemu ya Utanzania??

Uarabu ni Uislamu??

Hapa USA nina marafiki lundo wa Kikristo kutoka Saudia, Misri, Lebanon, Syria Iraq na Iran.
Kizuri zaidi ukristo wao haukupelekwa na Wazungu waliupata moja kwa moja kutoka kwa Wanafunzi wa Masihi Yesu.

Taarifa hii ya Waislamu inalenga kuukumbatia Ukoloni wa Kiarabu, kuukuza utawala wa ukoloni wa kiarabu kule Zanzibar na Biashara yao ya kuuza miili na Roho za Watanganyika kwao Uarabuni kuwa sehemu ya Uislamu.Aidha ina nia ya kudumisha mila na desturi za ukoloni wa kiarabu na kudharau desturi na mila za ukoloni wa kizungu jambo ambalo haliwapi heshima wala utukufu wowte.

Wazungu walileta dini wakafanya biashara ya utumwa wakatutawala kikoloni. KAtika biashra ya utumwa waliuza waafrika na kuwanunua kama bidhaa, walilala na watumwa wakazaa machotara, wanaume wa kiafrika waliendelea kuzaa na wanawake wa kiafrika na kuendeleza kizazi utumwani.

Waarabu walileta dini wakafanya biashara ya utumwa wakatutawala kikoloni. Katika biashra ya utumwa waliuza waafrika na kuwanunua kama bidhaa. Walilala na wanawake weusi na kuzaa machotara, kibaya zaidi waliwakata pumbu,kuhasi, wanaume wote ili kizazi chao kife.

Wazungu na waarabu wote walikuwa ni wakoloni, walituachia makovu mengi. Mengi ya makovu waliyotuachia ndiyo sababu ya tofauti zetu.
I really surpport your comment. Africa inabidi tufike mahala tujikomboe fikra zetu, tumeathirika psychologically kwa kuwatukuza wakoloni kwa hizi dini, mimi niko Ughaibuni hapa Am real feeling wazungu wanavyodhalau ngozi nyeusi.

Mwaarabu alifanya dhambi kubwa ya kuwahasi babu zetu na ndio maana kizazi chao mpaka sasa hakipo tena arabuni na kama mungu yupo atalipa. I'm speaking from my experience hapa nilipo mimi Mwanafunzi nasoma International programme, katika apartment yangu tunaishi watu wanne, mmoja ni raia Pakstan, Mwingine Muitaliano, mwingine ni Mmarekani mweusi kutoka Miami lakini mwenye asili ya Haiti. Hiyo combination mnaweza kuiona, kiukweli bora uishi na mzungu kuliko Mwarabu anavyodharau ngozi nyeusi. Kutukuza dini zao nikuendelea kuwainua. Mimi naamini mungu yupo lakini siamini kanisa wala, msikiti wala shehe wala kasisi.

Thread kama hizi kwa Great Thinkers hazipaswi kuwepo hapa kwenye jamvi. Sisi tunapaswa kuwaelimisha wale ambao wamekosa elimu juu ya udhalimu tuliofanyiwa na tunaofanyiwa na wakoloni kama waarabu na wazungu kuliko kuwatukuza kwa dini zao.

Mtu mwenye akiri timamu ambao unaitakia mema Tanzania huwezi eti ukakimbilia kujiunga OIC eti ili upate misaada badala ya kufikiria tutajikomboa vipi ili tujitegemee.Tutaishi kwa misada mapaka lini?. Hivi hatuwezi kufanya maamuzi magumu kama dini walizoleta wakoloni ndio zinatugawa hivi hatuwezi kuziacha na tukaishi kwa imani zingine?. During middle ages wafalme kama wa Uingereza walimua kufutilia mbali Ukatoliki na kuanzisha Anglican church. Hivi wako wako wapi viongozi wenye moyo huo wabunifu miaka hii?. Kweli watu tutauwana tu kwa sababu ya dini?

Hali halisi ni kwamba baada ya ukoloni wa wazungu kuondoka nchi nyingi za Africa zimeshindwa kubuni mbinu mbadala ya kujinasua kiuchumi, na hapa pana tatizo kubwa sana kwani panahitaji vichwa vyenye uthubutu kututoa hapo. Badala ya kuungana na kuweka nguvu ili tutoke hapo,tunakwama kwenye tope la dini za waarabu na wazungu na ukabila, mbinu za kujitoa hapo ni zetu wote.

Walaka kama huo ni vita vya panzi tu, tukiuwana watu watu wanaingia kiulaini, kama hatujui hilo refer to ginocide in Rwanda matokea katika ocupation of East Congo.

Tufike mahala tuamini kuwa Ukristo ni dini ya utamaduni wazungu, na mpaka sasa kwa huku Ulaya wazungu wamepungua sana wanaoenda makanisani, kwa taarifa tu watoto wengi wa kike wakizungu hawajiungi tena na utawa, tumebaki sisi tu.

Vilevile Uislam ni dini ya waarabu kama ilivyo hindu kwa wahindi. Na sio siri kwamba sisi wote waislam na wakristo kwa asilimia kubwa ni waumini by "TRADITION" i.e. Ni waislam na wakristo tu kwa kuwa bibi na babu zetu walikuwa wakiabudu huko, then baba, then sisi tumezaliwa tumejikuta tuko waislam au wakristo kwa kurithi toka kwa wazazi wetu. Wengi wetu mistari ya biblia, na ya koroan hata kumi hatuijui. Tunachojua tu ni kushabikia hoja zozote za za kugombanisha dini na uchochezi kama hizi.

Tatizo ni watawala wetu, hatujui tunakoenda,badala ya kufikiria vipi tutoke hapa kwa style yetu, ambayo ninaamini siyo ya kuiga wazungu kwa walivyofikia maendeleo ya kututawala, ikiwemo kutumia dini, wala siyo kuiga Asian Tiggers, wala siyo kumuiga mwarabu kwa mafuta yake, vingozi wetu wako busy kuimalisha vyama ili wabaki madarakani muda mrefu kwa njia yoyote.Walaka kama huu ni ufinyu wa mawazo, badala ya kufikiria maendeleo watu wanafiria compensation na kugawa mikoa.

For my opinion this document is a crap!!
 
Hiyo Mou ilikuwa inahusu kanisa kubeba jukumu lililoishinda serkali. Kwa vile kanisa linaamini kuwa ibada ya kweli ni kuwasaidia wahitaji (wajane na yatima). Hivyo kanisa likatumia resources zake za kifedha na talents kuanzisha huduma mbali mbali za kusaidia jamii. Serkali kwa kuona wanasaaidiwa kubeba mzigo wake na kanisa waka pledge kutoa mchango fulani katika baadhi ya huduma hizo za jamii zizazoendeshwa na kanisa.

Mfano mahospitali, vituo vya watoto walemavu, yatima n.k Na hii ilifanywa kusudi serkali isije kujisahau kuwa hili ni jukumu la kanisa wakati ki ukweli ni jukumu la serkali maana ndiyo inayotoza wananchi kodi. Na hata hivyo kwa sehemu kubwa serkali haitimizi ahadi zake. Mfano serkali inapaswa kutoa kiasi fulani cha fedha kila mwezi kwa kila mtoto yatima anayelelewa makao ya watoto yatima lakini muda mrefu hawatoi.

Hivyo kama serkali ingetumia kodi kutoa huduma za jamii na si kuzila kwa ufisadi kanisa lingebaki kuendesha shughuli zake za ki ibada. Kamwe kodi za serkali haziwahi kutumika kuendesha makanisa kama kulipia mishahara ya maaskofu na wachungaji. Pia hawatoi ruzuku kuendesha ibada. Misamaha ya kodi inayosemwa iko katika huduma hizo za jamii. Pia kuna misamaha katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya ibada kwa dini zote hata na waislamu. Kama ukiagiza konteina la koran leo hutalipa ushuru bandarini leo. Ni vile vile kwa biblia na vifaa vingine vya ibada.
Huo ndio udanganyifu wenu kama kwamba munacheza na watoto wadogo.Hizo resource za kanisa ni zipi?.

Hayo mambo mungeyafanya bila MOU na kulazimisha misamaha ya kodi tungewaelewa. Kinyume cha hapo ni kutaka kuchukua majukumu ya serikali kupitia mlango wa nyuma na kukuza dini yenu kupitia mabezo kwa waislamu.Hapa ndipo ambapo waislamu wamewashtukia.
 
Huo ndio udanganyifu wenu kama kwamba munacheza na watoto wadogo.Hizo resource za kanisa ni zipi?.

Hayo mambo mungeyafanya bila MOU na kulazimisha misamaha ya kodi tungewaelewa.Kinyume cha hapo ni kutaka kuchukua majukumu ya serikali kupitia mlango wa nyuma na kukuza dini yenu kupitia mabezo kwa waislamu.Hapa ndipo ambapo waislamu wamewashtukia.

Another delusional Islamist.
 
Nimekupata kaka ila tatizo letu sisi waislam hatuwezi ku walk on our words, h

My Take,

Waislam hawawezi kubadilika na hawatabadilika.

Prejudice....wewe huwezi kua ni muislamu, ni muongo (soma ulivyoandika hapo juu)

Alafu hawa wenzako wakakupa teksi kwa chuki zako za kichinichini ukijifanya wewe ni muislamu:
The Following 11 Users Say Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:
Bubu Ataka Kusema (Today), Candid Scope (Yesterday), EXECUTIVE (Yesterday), Invisible (Yesterday), Kaa la Moto (Yesterday), kimokole (Yesterday), M TZ 1 (Yesterday), Madela Wa- Madilu (Today), Mkusa (Yesterday), Mlalahoi (Yesterday), nguvumali (Yesterday)
 
Kwa hiyo wewe peke yako ndio muislamu sio? au unayo detector ya kujua dini za wana JF?
 
Kwa kweli huu wala sio waraka, ni kwamba hawa viongozi wetu wa dini ya kiislamu wanataka kuepuka lawama za kushindwa kutuletea mabadiliko.

Tazama tangu rais wa kiislamu aingie madarakani tumekua na unafuu mkubwa sana, tazama nafasi zote huko juu anavyotugawia kama njugu, amekubali hata kuacha kuteua nafasi za juu z amashirika ya Umma ili kutafuta muislamu mwenzetu, hebtu tuwe na shukurani. Oneni pale NSSF alivyotuachie tufanye tunachotaka, juzi tume ya haki za binadamu jamani waislamu hii miaka minne ni yetu tuache kulalamika tuchangamke.

Sisi tunatenda dhambi hata mtume hapendi hivyo, maana hata kule kwenye nchi za kiarabu kwenye watawala wa kiislamu tunaona pia hatutendewi haki, angalia somalia watawala waislamu wananchi waislamu lakini wapi vita ni vita, Iran pia kazi ni ile ile, Pakistani hakuna unafuu watawala na watawaliwa wote waislamu.

Sisi pamoja na kuwa ni waislamu hatutaki u extremist wenu. Shut up and work hard, tumepewa na JK ukumbi wa kutosha na kuzidi wakristo ndio wanaotakiwa kulalamika
 
Kwenye EPA!Jeetu Patel, Farijala Husein,Rajab Maranda,Zakia Meghji....niendelee kutaja?

Zakia Meghji ndio aliyewalipua hao wezi, wacha uongo. Mmempiga vita kwa sababu amewagusa alipoita kampuni ya uchunguzi baadala ya kutumia tume zenu zinazoficha mambo. Kwa tunaofahamu tunajua wanamuandama ni hao hao wezi na watu waliowanunua. EPA ni hao kina RA, Mkapa, Kikwete, Mramaba nk.

Hao waliopo mahakamani uliowataja hapo juu, wasingefika hapo kama sio Zakia.

Ufisadi hauna dini...
 
Kama MUISLAM nimeshawishika KUTOKUUNGA MKONO hoja hii ya KIPUMBAVU, kwa sababu zifuatazo:

1. Daima, kama Waislam, tunafundishwa kuwavumilia na kuwapenda watu wasiokuwa Waislam, ili nao wapendezwe na dini yetu, waingie humu. Uislam ni dini ya AMANI. Tamko hili HALIWEZI kuwa la Waislam, kwani halina hata chembe ya AMANI ndani yake. Linaashiria UHASAMA TU! Kwenye Uislam kuna amani na upendo, sio chuki, fitina, majungu na dhuluma!

2. Daima, Waislam tunaambiwa tusizungumie mambo ambayo HATUNA UHAKIKA NAYO, kutokana na ukweli kwamba tutakuwa TUNADHULUM NAFSI ZETU!. Suala la
Suala la "kupora mke wa mtu", hili suala wala bado halijaisha kwenye Mahakama zetu, na wala hakuna mwenye uhakika nalo. Hawa wanaojiita WAISLAM, mbona hawataki kufanya follow-up, wanabaki wakipiga kelele bila ya kuwa na taarifa za UHAKIKA?

Huna haja ya kutaja dini yako kusisitiza msimamo wako....DAIMA USIWE MUONGO, yanii kwenye mada yote hii ndio hilo tu umeweza kuliona hilo tu ? Wewe kweli muislamu kama ulivyodai ? hahaha
 
pengo_mufti.jpg

Tunataka amani na upendo sio nyaraka za uchochezi!

hivyo ndivyo mnavywadanganya waislam, eti marafiki pale tu kwa maslahi yenu. kama mnawapenda kweli mbona mnakataa kuwaruhusu pesa za gov kutumika ktk mahakama ya kadhi? linapokuja swala la fiada yenu eti tanzania moja, likja swala lao nooooo. huu urafiki ni wa kinafiki, hatutaki
 
Niwaambie ukweli, mwenzenu hadi hivi sasa siwezi, sitaki, sikubali na wala sifikirii kukubali kuwa hili ndilo lilikuwa tamko rasmi la hao viingizo wa Kiislamu. Nakataa.
Mwanakijiji dini gani? Kama mkristo hukubali lkn kama muislam tena msomi utakubali tu, kwani binafsi nimeshuhudia mengi sana kuhusu haya.

Kwa mfano; nilipokuwa chuo kikuu, Lecture mmoja alinukuu aya moja tu ktk qurani kama kunasabisha jambo wanafunzi walilalamika eti katia udini lkn pia yupo Lecture alinukuu Bibilia huyo walimsaidia pale aliposahau. Hii ndio hali halisi ya tz
 
nadhani hiyo imekaa kidini zaidi kuliko kisiasa ipelekwe kwenye jukwaa husika ikajadiliwe huko.

Nimekuwa nikikufuatilia kwa karibu sana kauli zako ktk haya yanayoitwa MATAMKO. Kama wewe ni muislamu wa kweli, basi mko wachache sana kama nyie. Watu kama nyie ndio mlitakiwa muongoze Waislamu wa Tanzania kutokana na Busara zenu. Safi sana Bro
 
Prejudice....wewe huwezi kua ni muislamu, ni muongo (soma ulivyoandika hapo juu)

Alafu hawa wenzako wakakupa teksi kwa chuki zako za kichinichini ukijifanya wewe ni muislamu:
The Following 11 Users Say Thank You to Mohammed Shossi For This Useful Post:
Bubu Ataka Kusema (Today), Candid Scope (Yesterday), EXECUTIVE (Yesterday), Invisible (Yesterday), Kaa la Moto (Yesterday), kimokole (Yesterday), M TZ 1 (Yesterday), Madela Wa- Madilu (Today), Mkusa (Yesterday), Mlalahoi (Yesterday), nguvumali (Yesterday)

Kwa hiyo wewe peke yako ndio muislamu sio? au unayo detector ya kujua dini za wana JF?

Fatilia posti ndio utajua kwanini nimesema hivyo....
 
Nimekuwa nikikufuatilia kwa karibu sana kauli zako ktk haya yanayoitwa MATAMKO. Kama wewe ni muislamu wa kweli, basi mko wachache sana kama nyie. Watu kama nyie ndio mlitakiwa muongoze Waislamu wa Tanzania kutokana na Busara zenu. Safi sana Bro
ok, na wakiristo waongozwe nani? ili iendelee ili kuepusha kuona kila rasilimali ni yao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom