Fugwe
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,676
- 664
Nauliza tena:
1) Ulipokuja waraka wa wakatoliki hamkuona tatizo ???
2) Maaskofu walipoanza kufanya kampeni za siasa, hamkuona tatizo??
3) Maaskofu, waliyofanya Rukwa, hamkuona tatizo??
4) Maaskofu, kutomtambua Meya Arusha (Sheria na siasa), hamkuona tatizo ???
Wanafiki wakubwa nyie, kama matatizo ya serikali rushwa, ufisadi wote tunapinga. Lakini nafsi zenu zinawasuta kwa sababu mmejaa udini na chama chenu chadema hamtaki watu wawakosoe.
Hao masheikh, Maaskofu ni watu, na watu wanakosea na kufanya makosa. Lakini kwa sababu ya udini wenu mlishindwa kuona hilo...
A bunch of people filled with religious hate, pretending to love this nation, that is JF for you!!!
Hambebeki nyie
Mkapa mkatoliki katoa chuo cha umma cha TANESCO ili kitumiwe na waislam lakini bado mnalalama. Mkapa alisikiliza kilio cha waislam kuvaa hijabu makazini na mashuleni makapewa then mkageuka kwamba hayo sio madai ya waislam
Nyerere kanyanganya shule na hospital za wakatoliki ili zitumike kwa wote na waislam wasomi na viongozi wa leo wamenufaika nazo lakini bado mnalalama.
Mahakama ya kadhi ipo kwenye ilani ya CCM mchakato unaendelea lakini hamridhiki.
Madai yenu yote hata mkipewa hamtaridhika zaidi zaidi mtaibua ambayo hayawezekani ili mtakaponyimwa mseme Serikali na Maaskofu wanawanyanyasa kama hili la kugawa nchi eti eneo lenye waislam wengi ndilo iwe nchi ya waislam SIJUI NCHI HIYO ITAITWAJE? Akili kama hizo ni bora kusikiliza sauti za ndege waiombao mwituni zinafriji na zinafaida kuliko utumbo wa huo waraka