Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Matamko ya (baadhi) waislam (Dar na Mwanza)

Status
Not open for further replies.
Huduma zinazotolewa na makanisa zimewasaidia sana waislamu. Kama unafikiri ni uongo mwulize jk amepata wapi elimu iliyomwezesha kuongoza taifa akiwa mwislamu. Mahospitali ya ngazi zote ya kanisa yanawasaidia wakristo na waislamu bila ubaguzi.

Ni ukweli kuwa ukimpa mkristo akufundishie mwislamu habari ya imani atamweleza uislamu kwa perspective ya kikristo. Hii ni common sense. Nina watoto wakristo ambao kutokana na kusoma shule za waislamu wanaimba kaswida na wanajua adhana. Mimi mwenyewe wajomba zangu wengi ni waislamu na wakati wa Idd sote tulienda huko kula siku kuu. Hivyo tungeimba nao kaswida na kufuatana nao misikitini.

Huu ndio ukweli.

Siku hizi kuna vituo vingi vya watoto yatima vinaendeshwa na taasisi za kiislamu. angalia vizuri hata katika luniga wote wanavalishwa hijabb.

huu utumbo wa eti makanisa yanawasomesha waislamu bila ya ubaguzi sipendi kuusikia, hizo ni hadithi za abunuasi, Serikali inyochukua kodi kwa waislamu na wakristo na kuyapa makanisa kuendesha shule halafu makanisa yakatoza ada kubwa na muislamu akasoma huko je muislamu kasomeshwa na kanisa , msifikiri wote tuna akili za kushikiwa acheni kuendelea na utumbo huu
 
Wewe ndio yule sheikh Yahya mnajim aliyesema atakaempinga JK atakufa au?
Teheteheee, kweli ndugu zangu mna kazi tena sio ya kawaida, eti kuwalalamikia wakristo kuwa chanzo cha matatizo yenu, pambana na maisha sio unalaumu wengine, wenzenu wanasonga nyie mnalalamika hadi lini? Aiseeeee,, huu waraka unatia aibu kwa waislam.

church propaganda at work
 
Waislam walio wengi wameendelea kuteseka na maisha kwa miaka mingi, huku wakiwa tayari wamekosa fursa za kielem kwasababu zilizoelezwa kwenye waraka, mbaya zaid wakristo sasa wanawacheka kwa dhiki waliyo nayo huku wakijiona wao ndio wanastahili raha zote walizo nazo leo.
Basi wataamua kupambana na dhalimu, ili japo wateseke wote.QUOTE]

Na hapa ndio nashindwa kuwaelewa ndugu zangu waislamu. Je hawa wakristo wao wanaishi wapi? Ikiwezekana watengewe maeneo yao ili waislamu wapewe haki wazitakazo! Mbona wakristo wanaishi katika vijiji vile vile wanashiriki dhiki hizo hizo. Hakuna maduka ya wakristo na ya waislamu, wanatibiwa sehemu moja wanaenda shule sehemu zile zile. Serkali haikuwa kuwasaidia wakristo. Wakristo kwa initiative za makanisa na talents zao walianzisha miradi iliyosaidia si wakristo pekee bali pamoja na waislamu.

Nani alizuia waislamu walipoona serkali haitoi huduma za jamii kujenga shule kwa initiative zao. Nani alisema waislamu wasijenge mahospitali ili wakristo nao waje pale kutibiwa? Serkali iliposhindwa kuwajali watu wake wakristo hawakuketi na kuangalia tu. Walifanya kitu, wakati mwingine kwa kujinyima. Wako vijana wetu mapadre, masista wanafanya kazi za ualimu bila mishahara mikubwa wanayodai walimu wa serkali ili mradi wananchi wapate huduma. Mbona dini nyingine wasiige hilo?? Serkali ilikuja kuchangia kwa kuona aibu maana kazi zake zinafanywa na kanisa. Nani alisema kanisa wajibu wake wa kikatiba ni kutoa huduma za afya na elimu????

Peleka lawama zinakostahili. Kambarage, Mwinyi, Mkapa na Kikwete na kwa usahihi CCM ndio adui wa maendeleo yetu (Wakristo na zaidi waislamu kwa sababu hawakuwa na uwezo wa kufanya self initiatives)
 
Ningewaona watu wa maana Kama

1: Mngetangaza Kuwaachisha Shule Watoto wenu Wanaosoma katika Shule zinazomilikiwa na Mashirika Ya Kikristo

2: Mngeacha Kwenda Katika Hospitali zinazomilikiwa na Masharika ya kikristo

Vinginevyo mtaendelea Kulalamika Wakati sisi tuko Bize Kujenga Shule, Vyuo na Mahospitali

hamuwezi kujenga bila msaada kutoka serikalini kupitia MOU ya serikali mna kanisa, usipotoshe umma
 
Huduma zinazotolewa na makanisa zimewasaidia sana waislamu. Kama unafikiri ni uongo mwulize jk amepata wapi elimu iliyomwezesha kuongoza taifa akiwa mwislamu. Mahospitali ya ngazi zote ya kanisa yanawasaidia wakristo na waislamu bila ubaguzi.

Ni ukweli kuwa ukimpa mkristo akufundishie mwislamu habari ya imani atamweleza uislamu kwa perspective ya kikristo. Hii ni common sense. Nina watoto wakristo ambao kutokana na kusoma shule za waislamu wanaimba kaswida na wanajua adhana. Mimi mwenyewe wajomba zangu wengi ni waislamu na wakati wa Idd sote tulienda huko kula siku kuu. Hivyo tungeimba nao kaswida na kufuatana nao misikitini.

Huu ndio ukweli.
Siku hizi kuna vituo vingi vya watoto yatima vinaendeshwa na taasisi za kiislamu. angalia vizuri hata katika luniga wote wanavalishwa hijabb.
Kuhusu elimu:
Sijapinga kabisa. Ila ni wa ngap? hata mie wamenisaidia..
Darasa katika shule ya Seminari lina watoto 30, waislam wasiozid wanne. Hao -4 wapo ili mje kujibu hoja kama ww unavyofanya sasa hivi ila zile shule sio kwa ajili ya watz wote, ni kwa ajiri ya wakristo!
Kuhusu Hospital:
Pia sipingi, hospital zipo nyingi. Ila tunalipia huduma, so ni biashara kama biashara nyingine. I stand to b corrected on this.

Centres:
Waislam wanaendesha vituo hivyo bila kutumia pesa ya serikali rasmi kama mnavyofanya nyinyi, ni pesa yao, na yawahisani wao hivyo wanahak ya kuwavisha hijabu.
Ila nyiny tunawachangia sote. Is it fair?
 
Kama MUISLAM nimeshawishika KUTOKUUNGA MKONO hoja hii ya KIPUMBAVU, kwa sababu zifuatazo:

1. Daima, kama Waislam, tunafundishwa kuwavumilia na kuwapenda watu wasiokuwa Waislam, ili nao wapendezwe na dini yetu, waingie humu. Uislam ni dini ya AMANI. Tamko hili HALIWEZI kuwa la Waislam, kwani halina hata chembe ya AMANI ndani yake. Linaashiria UHASAMA TU! Kwenye Uislam kuna amani na upendo, sio chuki, fitina, majungu na dhuluma!

2. Daima, Waislam tunaambiwa tusizungumie mambo ambayo HATUNA UHAKIKA NAYO, kutokana na ukweli kwamba tutakuwa TUNADHULUM NAFSI ZETU!. Suala la
Ilipofika wakati wa kampeni hadi kuingia siku ya kupiga kura, ilikuwa imedhihiri kipi kilikuwa chama cha maaskofu ambacho walitarajia kitekeleze Ilani yao. Haikuwa tena jambo la siri kwani walisimama wazi wazi kuwaelekeza waumini wao wampigie nani kura. Na katika juhudi zao za kutaka wafuasi wao wawaelewe vizuri, maaskofu walithubutu hata kuweka kando mafundisho ya Biblia yao juu ya masuala ya uzinzi wakawahimiza waumini kumpigia kura mtu wanayemtaka bila kujali kwamba anakabiliwa na kashfa ya kupora mke wa mtu. Waliwaambia wasihangaike na maisha binafsi ya ndoa ya mgombea.
Suala la "kupora mke wa mtu", hili suala wala bado halijaisha kwenye Mahakama zetu, na wala hakuna mwenye uhakika nalo. Hawa wanaojiita WAISLAM, mbona hawataki kufanya follow-up, wanabaki wakipiga kelele bila ya kuwa na taarifa za UHAKIKA?
 
huyu nae kakurupuka tu hajui asemalo, shame on u
TAMKO LA WAISLAMU DHIDI YA KAULI ZA MAASKOFU
Waislamu tumelazimika kukutana na kutoa tamko hili kwa sababu matukio yanayotokea hivi sasa yanaonesha kuwa wale ambao Watanzania walikataa kuwapa uongozi na Ilani yao iliyoandaliwa na maaskofu, ndio sasa wanaielekeza nchi pa kwenda huku viongozi wa CCM na serikali wakijitahidi kadiri ya uwezo wao kunyenyekea kwa maaskofu hao.
WABILLAHI TAWFIQ
Duh, kaazi kweli kweli - tamko indeed !
 
huu utumbo wa eti makanisa yanawasomesha waislamu bila ya ubaguzi sipendi kuusikia, hizo ni hadithi za abunuasi, Serikali inyochukua kodi kwa waislamu na wakristo na kuyapa makanisa kuendesha shule halafu makanisa yakatoza ada kubwa na muislamu akasoma huko je muislamu kasomeshwa na kanisa , msifikiri wote tuna akili za kushikiwa acheni kuendelea na utumbo huu

Hebu twambie ni shule ipi inayopewa fedha na serkali halafu inatoza ada kubwa? Usiwadanganye watu toa data tafadhali!
 
Bado tatizo la uelewa kwa waislam wengi ni kubwa.Hili si tamko.Ni malalamiko.Rais wenu ni mwislam mwambien awasikilize.Misaada mnayopewa jengeni shule na hospitali badal ya kukimbilia kujenga msikiti mkubwaaaaa wakati mnajua elimu ndio kila kitu.Mnahusudu madrasa badala ya elimu.Hakuna shehe aliyesoma kumzidi mchungaji.Kama ni uwongo mtazameni Shehe mkuu wenu.Ana elimu gani?
 
Baada ya kusoma - KIJUU JUU - taarifa hii, nimeshawishika KUTOKUBALIANA NAYO, kwa sababu zifuatazo.

1. Uislam ni dini ya AMANI. Hawa wanatangaza vita. Hawakubali hata kutofautiana na wasiokuwa Waislam! Huu ni unafiki!

2. Uislam unakataza waumini kusema mambo wasokuwa na hakika nayo. Nani ana hakika kwamba kuna kiongozi mwenye tuhuma za kupora mke wa mtu? Mbona suala hili liko mahamani na bado halijatolewa uamuzi?

Acheni kutuchonganisha na wenzetu! NINYI KAMWE HAMWEZI KUWA WAISLAM!
 
Waislam walio wengi wameendelea kuteseka na maisha kwa miaka mingi, huku wakiwa tayari wamekosa fursa za kielem kwasababu zilizoelezwa kwenye waraka, mbaya zaid wakristo sasa wanawacheka kwa dhiki waliyo nayo huku wakijiona wao ndio wanastahili raha zote walizo nazo leo.
Basi wataamua kupambana na dhalimu, ili japo wateseke wote.QUOTE]

Na hapa ndio nashindwa kuwaelewa ndugu zangu waislamu. Je hawa wakristo wao wanaishi wapi? Ikiwezekana watengewe maeneo yao ili waislamu wapewe haki wazitakazo! Mbona wakristo wanaishi katika vijiji vile vile wanashiriki dhiki hizo hizo. Hakuna maduka ya wakristo na ya waislamu, wanatibiwa sehemu moja wanaenda shule sehemu zile zile. Serkali haikuwa kuwasaidia wakristo. Wakristo kwa initiative za makanisa na talents zao walianzisha miradi iliyosaidia si wakristo pekee bali pamoja na waislamu.

Nani alizuia waislamu walipoona serkali haitoi huduma za jamii kujenga shule kwa initiative zao. Nani alisema waislamu wasijenge mahospitali ili wakristo nao waje pale kutibiwa? Serkali iliposhindwa kuwajali watu wake wakristo hawakuketi na kuangalia tu. Walifanya kitu, wakati mwingine kwa kujinyima. Wako vijana wetu mapadre, masista wanafanya kazi za ualimu bila mishahara mikubwa wanayodai walimu wa serkali ili mradi wananchi wapate huduma. Mbona dini nyingine wasiige hilo?? Serkali ilikuja kuchangia kwa kuona aibu maana kazi zake zinafanywa na kanisa. Nani alisema kanisa wajibu wake wa kikatiba ni kutoa huduma za afya na elimu????

Peleka lawama zinakostahili. Kambarage, Mwinyi, Mkapa na Kikwete na kwa usahihi CCM ndio adui wa maendeleo yetu (Wakristo na zaidi waislamu kwa sababu hawakuwa na uwezo wa kufanya self initiatives)

Sasa mkuu tumeanza kuelekea kutuelewa.
Sio wakristo wa kule kijijini walidhurumu waislam. Ila ni Maaskofu, ndio maana huu waraka ni dhidi yao.
Na hawa ndio watu hatari sisi leo tunawapigia kelele, wakristo wengi ni ndugu zetu kama unavyofahamu tumeoleana na hatuna chuki, tumepanga/tunaishi pamoja....ila sasa Viongoz wenu ndio tatizo. Me naishia hapo kwa leo,usiku umeenda.
 
huu utumbo wa eti makanisa yanawasomesha waislamu bila ya ubaguzi sipendi kuusikia, hizo ni hadithi za abunuasi, Serikali inyochukua kodi kwa waislamu na wakristo na kuyapa makanisa kuendesha shule halafu makanisa yakatoza ada kubwa na muislamu akasoma huko je muislamu kasomeshwa na kanisa , msifikiri wote tuna akili za kushikiwa acheni kuendelea na utumbo huu
tatizo lenu mnaanza kusoma madrasa bila kwanza kupata maarifa ya duniani ndio maana mnasumbuka.Hakuna shule inayosaidiwa na serikali yenu ya JK.lakin pia malalamiko haya mngepeleka kwa kikwete na si kwetu.
 
Baada ya kusoma - KIJUU JUU - taarifa hii, nimeshawishika KUTOKUBALIANA NAYO, kwa sababu zifuatazo.

1. Uislam ni dini ya AMANI. Hawa wanatangaza vita. Hawakubali hata kutofautiana na wasiokuwa Waislam! Huu ni unafiki!

2. Uislam unakataza waumini kusema mambo wasokuwa na hakika nayo. Nani ana hakika kwamba kuna kiongozi mwenye tuhuma za kupora mke wa mtu? Mbona suala hili liko mahamani na bado halijatolewa uamuzi?

Acheni kutuchonganisha na wenzetu! NINYI KAMWE HAMWEZI KUWA WAISLAM!

Mkuu usisome kijuu juu, tafadhari usome wote na ndio utoe comments otherwise kaa kimya uache waliosoma wakaelewa watoe comments zao.
 
Actions will follow, muslims to understand the true history...nakushauri usome tamko between the lines..

Umaskini ni tatizo letu wote lakini zaidi limesababishwa na uchukuaji wa fedha za umma na kuzipeleka kwenye miradi ya kanisa kuliko ya jamii yote..justice is what we want

Acha kujidhalilisha hivi kuna mtu kama huyu nchini yani Mafisadi yanakomba pesa daily unasema zina enda kanisani, hasa kwa amri ya nani una maana Jk anaruhusu hali hiyo kiukweli umeprove jinsi ulivyo upepo. Fungua macho
 
Tulipowashinda wakoloni sio sie tuliemkabidhi Julius nchi? adui wa uslamu ni mwislamu wala msiwasingizie wakristo ukipata fursa soma kitabu cha Mohammed Said kitabu kinaitwa Abdulwahid Sykes.\

Book Details Summary: The title of this book is Maisha Na Nyakati Za Abdulwahid Sykes (1924-1968): Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati Za Waislam Dhidi Ya Ukoloni Wa Waingereza Katika Tanganyika and it was written by Mohamed Said, Ali Salum Mkangwa. This edition of Maisha Na Nyakati Za Abdulwahid Sykes (1924-1968): Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati Za Waislam Dhidi Ya Ukoloni Wa Waingereza Katika Tanganyika is in a Paperback format. This books publish date is January 2002. There are 416 pages in the book and it was published by Phoneix Publishers. The 10 digit ISBN is 9966471693 and the 13 digit ISBN is 9789966471697. For the most current lowest price, Click Here.

Ukipata muda soma hii upate kujua waislamu wanacholalamikia.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ayajua-haya-ya-tanganyika-kabla-ya-uhuru.html

kuna kitu ambacho unatakiwa kukijua unaweza kuwalaumu single muslim ukasema ni tatizo letu sote, hawa wametuwekea mfumo kristo wakauita secular, non align but sivyo, tunpigania kuundoa mfumo kristo kwanza ili raisi yeyote atende haki kwa raia wote
 
Hivi hawa jamaa wako je yaani mi nashindwa kuwadifine yani wanakomalia vitu ambavyo havipo wanaacha ya msingi mbona hawa kemi ufisadi uliokitili nchini, hawatoi tamko juu ya dowans,kupanda kwa umeme,mafuta,gesi,mauji ya raia yanayo endelea na mengine kama haya kazi kueneza chuki tu na uhasama. Wanasema wametegwa mbona hawaimbii serikali direct wanasingizia wakatoliki.

Haya sasa hivi viongozi wakubwa wengi ni wao tukianza na JK, Mwema, Chande Othman, Bilal na wengine kwanini wasiwatumie hawa kudai hayo madai kuliko kunza kusingizia katoliki yani kiukweli hawa watu wanapenda shari tu, wanataka waanze kujilipua na kuuwa watu hapa hakuna jipya mi wameni kwaza na Waislam wenye akili kama prof. Lipumba, Safari, Shavji na Narji hawawezi kuunga mkoko upupu kama huu
 
Hiyo Mou ilikuwa inahusu kanisa kubeba jukumu lililoishinda serkali. Kwa vile kanisa linaamini kuwa ibada ya kweli ni kuwasaidia wahitaji (wajane na yatima). Hivyo kanisa likatumia resources zake za kifedha na talents kuanzisha huduma mbali mbali za kusaidia jamii. Serkali kwa kuona wanasaaidiwa kubeba mzigo wake na kanisa waka pledge kutoa mchango fulani katika baadhi ya huduma hizo za jamii zizazoendeshwa na kanisa.

Mfano mahospitali, vituo vya watoto walemavu, yatima n.k Na hii ilifanywa kusudi serkali isije kujisahau kuwa hili ni jukumu la kanisa wakati ki ukweli ni jukumu la serkali maana ndiyo inayotoza wananchi kodi. Na hata hivyo kwa sehemu kubwa serkali haitimizi ahadi zake. Mfano serkali inapaswa kutoa kiasi fulani cha fedha kila mwezi kwa kila mtoto yatima anayelelewa makao ya watoto yatima lakini muda mrefu hawatoi.

Hivyo kama serkali ingetumia kodi kutoa huduma za jamii na si kuzila kwa ufisadi kanisa lingebaki kuendesha shughuli zake za ki ibada. Kamwe kodi za serkali haziwahi kutumika kuendesha makanisa kama kulipia mishahara ya maaskofu na wachungaji. Pia hawatoi ruzuku kuendesha ibada. Misamaha ya kodi inayosemwa iko katika huduma hizo za jamii. Pia kuna misamaha katika vifaa vinavyoingia nchini kwa ajili ya ibada kwa dini zote hata na waislamu. Kama ukiagiza konteina la koran leo hutalipa ushuru bandarini leo. Ni vile vile kwa biblia na vifaa vingine vya ibada.

Sasa wewe tumia akili unafikiri sehemu ya kanisa inayoendeshwa na hela za serikali unafikiri hapo Muislamu atapewa kazi?
 
tatizo lenu mnaanza kusoma madrasa bila kwanza kupata maarifa ya duniani ndio maana mnasumbuka.Hakuna shule inayosaidiwa na serikali yenu ya JK.lakin pia malalamiko haya mngepeleka kwa kikwete na si kwetu.

Wewe furahia hiyo starehe yako ya muda itakutoke puani kwani wadhulumiwa wamekwisha stuka. Mpaka kieleweke .............
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom