Data given
Member
- May 8, 2014
- 68
- 11
usipo pigwa ban kwa comment yako,then mods watakuwa hawajaiona
Sio kupigwa ban tu mkuu inatakiwa asaidie upelelezi haiwezekani polisi wahangaike wakati pa kuanzia ni kwake
usipo pigwa ban kwa comment yako,then mods watakuwa hawajaiona
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
maswali yote sijaona logic ya kuoanisha Na unachokiwaza. kama Mwalimu wako wa driving school alikuambia gari kuacha njia lazima tyre lipasuke naomba urudi chuo kingine ukalisiti driving. muda wa ajali na picha nalo sio ksb kama ajali imetokea saa kumi na moja unataka kutuambia kuwa ilikuwa lazima kuwa watu wa kwanza kufika eneo la tukio wasisaidie majeruhi wapige picha kwanza na kuzituma kwenye mitandao na hata kama hawakuwa na camera. mwisho daktari wako alikuambia kuwa kifo cha ajali ya gari lazima uwe na external wound na nguo zichanikane kana kwamba ilikuwa vita . ya mungu mengi .
Chacha Wangwe saga.
Embu iangalie tena vizuri hiyo gari , hapo ilipo na ilivyo iko upside down na kwa hiyo ya gari ni lazima itakuwa RHD hivyo inaonyesha kuwa Marehemu ni kama ndy alikuwa dereva wa hiyo kwa maana yuko upande wa kulia wa gari. Mimi ni dereva na ni mzoefu ni hiyo sehemu kwamba mahali hapo kidogo barabara yake haijatulia so ni rahisi sana kwa gari kuacha njia ikiwa dereva ata overdrive au akasinzia - kumbuka ajali imetokea mida ya alfajili.
Ndugu yangu mimi binafsi sijakuelewa!
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Mkuu wewe ni mtu wa Rwanda? Unakubaliana na kauli aliyotoa majuzi marehemu Mtikila Star tv kuwa Watutsi wakiongozwa na Kagame wanataka kumweka mtu wao (Lowassa) ikulu ili kufanikisha mkakati wao wa kujenga ufalme wa Wahima (Hima empire) Afrika mashariki na kati? Na pia mpango huo unahusu kumtibua (destabilize) Nkurunzinza huko Burundi hadi aachie ngazi?