Ajali yoyote haihitaji mfanano wa tukio, iwe ya kupinduka au ya kugongwa.
Gari huhitaji dimensions ya ubavuni kupondeka ili kuthibitisha uharibikaji wa gari, maana likipinduka hata mara moja sio gari zima litaharibika.
Mbona hujaquestion kuharibika kwa "buti" la gari???
Kuhusu tai yake, we huoni kwamba ni picha baada ya ajali?? Ulitaka marehemu apigwe picha akiwa katika hali ya umauti wa fedheha??
Je huoni kwamba mpiga picha (yawezekana) alifanya uokozi kwa wahusika wa ajali kwa kuwatoa nje ya gari???
Lakini pia kwa akili ndogo tu, unawezaje kunyongwa huku tai ikiwa UTOSINI???
Haikuingii akilini kwamba, baada ya kuona kuwa mpendwa Mch. Mtikila amefariki huku akiwa "ameacha kinywa/mdomo wazi" waliamua kuzungushia tai ili taya zisikakamae na kumpa sura ya aibu marehemu???
Lakini pia, hujaona kwamba picha Ile imepigwa huku ASKARI POLISI / TRAFFIC OFFICERS wakiwemo?!!
Je hujaona kofia ya traffic kwenye Tairi ya nyuma ya gari ikionekana???
Au traffic naye ni mhusika wa mauaji??!
Lakini hiyo conclusion ya marehemu kukosa pumzi, je kama (mimi sio daktari) marehemu alivunjika shingo wakati wa ajali hiyo, koo la hewa likashindwa kufanya kazi yake, huoni bado hali hiyo ingejitokeza pia??!
Lakini pia, hiyo conclusion ya mti kukatika kisa upo karibu na gari? Muandika hiyo mada alifika eneo la tukio na kuthibitisha IMPACT ya gari kwenye huo mti?! Kwamba ulitaka mti ukatike ili kuonesha kwamba impact ya gari ilikuwa kubwa, vipi kama mizizi ni mirefu na mti ni mgumu??
I highly doubt about THINKING CAPACITY na UCHAMBUZI MAANDAZI wa watu....
Tumuache Mch. Mtikila apumzike kwa Amani
😒😒😒😒😒😒