Wameshaenda Kupeleka Feedback Ya Aliyewatuma Kufanya KILICHOFANYIKA Na Si Ajabu Hata Wao Pia Wakamfuata MCHUNGAJI Leo Jioni au Kesho ILI KUMALIZA USHAHIDI Wa Scenario Nzima. Principles Za KIMAFIA Na KIJASUSI Duniani Kote HAZITOFAUTIANI Sana. King Maker Sasa Hivi KATULIA Tu KIMYA Huku AKIDHANI Kazi IMEKWISHA Wakati Kumbe Ndiyo Kwanza WANAMUME Wameamka Na Kuanzia Leo Hadi Tarehe 24 Ni Shuka Kwa Shuka Na Ngozi Kwa Ngozi Campaign Huku Tarehe 7 WATU Wawili MAARUFU Na Wao WAKIANZA KUFAGIA NJIA Na KUCHAFUA Kule KOTE Walikopita WALIOMTANGULIZA Reverend Alfajiri Ya Leo.
Hao wengine aliokuwa nao ndani ya gari ni kina nani?
Majina yao tuyajue pia.
Laana zimemfika kwa kujiona ataishi milele
Nipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.
Ni kweli lakini ikumbukwe kuwa kifo kikifika huwa hakuna cha kuzuia.Hii gar haikuwa na wheel balance kwajinsi inavyo onekana ni gari ambayo inasifa za kugogwa zaidi ya mara 3 ilishapata ajali jingi kifo ni lazima wala siyo hiyari ila kusafiri na gari kama hiyo yataka uwe fundi na dereva mzee ambaye amezowea kuendesha magari vimeo kama hilo !!
!
kuna msemo unasema"you see what you want to see",means unakiona unachopenda kukiona,na wewe umeleta mada ukiwa na majibu yako yaliyo egemea upande fulani,kueni jamani,mungu hadhihakiwi,tumuombee mchungaji huko aendako,na tusiwe wepesi wa kufanya shiriki kwani humchukiza sana mungu,nakuombea mleta mada ubadilishe mawazo yako ya kishirikina katika hili....R.I.P Mchungaji wangu Mtikila!
Ndugu yangu mimi binafsi sijakuelewa!Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
{Eddy}huenda ikawa hujawahi ona ajali katika uhalisia hata kama gari ni jipya litatoa vumbi na kila kilichopo kitakwenda nje, je nyanya na vitunguu alikuwa anakimbia nazo? zipo katika picha pia. Fikiria na kutafakari bwana ameto na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.
Mchungaji Mtikila, mtetezi halisi wa Tanganyika, mtetezi wa Katiba, Mtetezi wa Haki za Binadamu, Mungu akulaze mahala pema peponi na kama kuna mkono wa mtu basi Mungu amuweke wazi hadharani kablka jogoo hajawika. umekuwa ni mpambanaji halisi ambaye ulidiriki kuweka usajili wa chama chako rehani kwa kuitetea Tanganyika.
I salute you.
Nikiona mambo kama haya nakumbuka wafuatao..Chacha Wangwe,Harrison Mwakiembe,Said Kubenea, Kibanda na wengine naweka hakiba ya maneno
Nipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.
Mh..Nina hamu ya ugoro sana leo...!hakufunga mkanda na akatupwa nje ya gari akiwa ameshika breaf case yake? Au alikimbizwa kwanza kabla ya kumaliziwa?
upande wa dereva ndo umepondeka zaidi Mtikila tu ndo wakufa hapo hapo? uchunguzi ufanyike juu ya hiki kifo hapana kwa kweli hainiingii akilini kabisa