Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Polisi wachunguze hili suala kwa makini.watu wenye majibu wasaidie polisi
 
Kwa ile Roll Over ya umbali ule kutoka highway ilikuwa ni impossible kwake kutoka salama especially km hakufunga seat belt...
 
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Wewe kama mnyarwanda Na mtutsi unauonaje msimamo wa mtikila dhidi ya Taifa lako na wanyarwanda wenzako?Naomba jibu hili swali
 
Tena ukiangalia hilo gari unaona nyanya pembeni na sio viroba kuonyesha aina ya abiria na dreva
 
Alipata ajali eneo la msolwa kuelekea mdaula kama unatokea chalinze.

Eneo hili ni hatari kwa watumiaji wa barabara kwani mwaka 2013 walifariki wanafunzi wanne wa chalinze sekondari na raia wengine watatu waliokuwa wanatokea chalinze kwenda mdaula (njia ya morogoro)
 
Nipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.

Itakuwepo sababu zaidi ya hiyo. Vile vile wewe unajiita tu mnyarwanda ila kwa wanaokuelewa vizuri wanakataa kuwa wala hujatokana nao wala hutakaa uwe mmoja wao. Tupe ukweli wako asili ya familia yako wapi ni nchi jirani na Rwanda au ipi? Utaelea elea hadi lini?
 
1- Kwenye Bold,
Sema ni wewe ndio unajua sababu ni moja tu ya kupinduka kwa gari ni kupasuka kwa tairi, ila sisi wote tunajua zipo sababu nyingi Zaidi ya hiyo!
-Dereva kusinzia huku akiendesha, hasa kwa mida kama hiyo!
-Sterling rod kukatika ukiwa kwenye mwendo kasi, inaweza ikapindua gari!
-Dereva kuchomekewa na gari linguine, akiwa kwenye mwendo kasi na kumfanya aache barabara!
-Break kufail akiwa kwenye mwendo kasi na hasa dereva akitaka kusimama ghafla kwa kuona hatari mbele yake, aaweza aka opt aachie barabara!
-Dereva anaweza akapoteza fahamu, akiwa kwenye mwendo kasi!


2. Kwani Sokoine alipokufa, uliona jeraha lolote mwilini kwake katika picha?
-Umejiuliza swali lolote juu ya internal bleeding?
-Kama alipigiza kichwa hadikupoteza fahamu?

3.Chalinze ni kubwa sana, labda wewe unajifikirisha Chalinze mjini tu hufikirii nje hapo! Labda kwanza ukanushe hapo ajali ilipo siyo Chalinze!
-Mbona kuteswa kwa Dr Ulimboka, picha zake tulizoziona ni za asubuhi na siyo za usiku? Kwa maana hiyo alionwa na wapita njia waliopita mida hiyo......au ulitaka tufikirie kuwa aliletwa na kutupwa pale yeye pamoja gari na hao majeruhi wengine?
 
Wewe hauna uwezo wakuelewa hlo jambo, Kwa picha zinavyoonesha ni sehemu ya bonde so huende gari iliacha njia na kwa mshituko na mkandamizo wa uskani ukamukandamiza kifua na sehemu ya tumbo ikampelekea kupata internal bleed na mwisho kifo..
Nasema hvyo kwa fact kuwa case kama hyo nimekutana nayo na mgonjwa kafariki ndani ya saa 12
 
swali la ziada msolwa kwa tunaopita kila siku sio eneo baya kibarabara kama eneo la kuanzia chalinze hadi mlandizi.

kifo chake ni sawa na vya

regia mtema

chacha wangwe

dada dada yake mbowe.

mtema kesi ilikuwa kugombea uenyekiti wa BAWACHA

wange kungombea uenyekiti wa chama taifa

dada yake mbowe ni kuhamia ccm tu


akili yako imechoka! go and rest!
 
Wewe ni chizi kabisa ivi akili zako hazielewi kuwa ni bora uumie utoke damu kuliko kuumia ndani kwa ndani damu zikawa hazina pa kupenyea?

Eti nguo kuchanika, what stupid question? kwani wewe ndie unayepanga ajali?

Fanya wewe uchunguzi. hoja zako ni kibubusa sana
 
ALWATAN KIZIGO

Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.

Yaan polisi wanahangaika na upelelezi kumbe pa kuanzia panajulikana, ngoja nipige scren shot niwatumie ili uje uhojiwe pengine inawezekana ukawa na abc zinazoweza kusaidia upelelezi, thanks
 
Last edited by a moderator:
Kweli mleta maada uwelewa wake ni mdogo au katumwa toka Lumumba. Haoni kama gari imeharibika. Kitaalamu ukipata ajari na usipo toka Damu nalo ni tatizo kwa Damu ikivujia ndani pia nalo ni tatizo kubwa -internal bleeding. Pia gari sio lazima tairi ipasuke kuna tailod hand, wish bar, ball joint steeling leak nk. Kuwa makini na vihoja vyako vya chekechea
 
Back
Top Bottom