Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

we jamaa unayejita ALWATAN ni lazima ufahamu kwamba sote sisi ni watz na Tanzania ni yetu ila kwwa thread unazoleta hizi za kichochezi hautakii jambo jema taifa hili. naomba acha kupost taarifa za namna hii zitapasua taifa
 
Hii ichi mpaka sasa najua ina wataalam wa forensic investigtion. Nadhani tuwe wapole tuu tutajua ukweli, ajali ni ajali tuu kama yule aliyesukumwa akadondokea kochi na kufariki.
 
maswali yote sijaona logic ya kuoanisha Na unachokiwaza. kama Mwalimu wako wa driving school alikuambia gari kuacha njia lazima tyre lipasuke naomba urudi chuo kingine ukalisiti driving. muda wa ajali na picha nalo sio ksb kama ajali imetokea saa kumi na moja unataka kutuambia kuwa ilikuwa lazima kuwa watu wa kwanza kufika eneo la tukio wasisaidie majeruhi wapige picha kwanza na kuzituma kwenye mitandao na hata kama hawakuwa na camera. mwisho daktari wako alikuambia kuwa kifo cha ajali ya gari lazima uwe na external wound na nguo zichanikane kana kwamba ilikuwa vita . ya mungu mengi .

Kwa kuongezea tu...inawezekana dereva naye alikuwa na uchovu mwingi plus usingizi! Ikumbukwe jana Rev Mtikika alikuwa Njombe akinadi wagombea wa DP wa ngazi ya Ubunge na Udiwani.

Hiyo safari inaonekana ilikuwa ya kulazimisha ili awahi mwaliko wa StarTV...bila kutilia maanani fitness ya dereva wake in terms of uchovu na usingizi.

Kwangu mimi naona ni ajali tu kama ajali zingine...apumzike panapomstahili!
Amen.
 
Maombi kwa Mungu ni unapokua hai, baada ya hapo ni kusubiri hukumu tuu au reincarnation
Ule ni mzoga wa mtikila, hausikii hauoni hauna hisia zozote, mtikila hayupo tena

mkuu kumbe na wewe una lugha chafu sana
 
Nipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.

Mkuu naona wewe utanisaidia kunielimisha vizuri. Niko karibu sana na Watutsi toka Rwanda na Burundi. Kwao wote Kagame ni messiah lakini hawataki kabisa kumsikia JK - hasa wa Burundi. Wanadai ndiye anayempa jeuri Nkurunzinza na kwamba ameudhibiti uchumi wa Burundi. Familia yake ndiyo yenye ukiritimba kwenye biashara ya mafuta (petroleum) na usafirishaji wa mizigo hali inayowazidishia ugumu wa maisha.

Inawezekana Magufuli akapendwa lakini Kikwete na CCM yake? Hapo nahitaji ufafanuzi kuhusu mkanganyiko huu wa mitazamo bila kusahau Mtikila alivyomhusisha Lowassa na mpango wa Kagame wa kujenga "Hima empire".
 
mbona hayo maswali yote matatu hakuna hata swali 1 la msingi yote nimepesi sana.
kwanza inaonekana wewe si dereva na kama ni dereva basi ni wakupeleka mbele na kurudisha nyuma tuu Gari kwenye parking hujawahi endesha Gari kwa speed hata 15 tuu.


inasemekana mchungaji alitoka kwenye mkutano wa kumnadi mgombea huko njombe kwa hiyo kuna mengi sana yapo nyuma ya pazia kabla hajafikwa na mauti.


mkuu sasa kwa hali ya hewa sasa hivi saa 11 na moja ulitaka paweje ?? na kumbuka ni kiasi gani nchi yetu mwitikio wa vyombo husika ulivyo sifuri hiyo ajari unaweza kweli ilitokea SAA 11 lkn mpaka wanafika watu wausalama inawezekana walichelewa kufika na wamefika kushapambazuka kbs na ndio picha hiyo ikapigwa mda huo.

je hiyo Gari ilikuwa inaendeshwa na nani?
 
R.i.p chacha wangwe
r.i.p robert ouko
r.i.p rev mtikila
 
Ongezea na je alitokea wapi? nani alifika eneo hilo wa kwanza? uzoefu wa dereva wake? gari ile ilikuwa service lini na wapi? je aliokuwa nao ndiyo hao wa siku zote au walikuwepo wapya? Je alikuwa na mission gani wiki kesho nk
 
Mda si mrefu nimemuona tbc1 majeruhi mmoja akihojiwa, naye ametambulishwa kama mchungaji
 
Back
Top Bottom