Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Sasa kama ulikuwa unajiuliza wewe kuna sababu gani ya kutwambia sisi kama si umbea?��
 
ccm mmechanganyikiwa tulizeni akili, pungizeni mihemko. Angalau mtapunguza kipigo kidogo octoba 25. Mmechanganyikiwa sana. Poleni

Yamechanganyikiwa hata kabla ya uchaguzi😆😆
 
Mtikila alikuwa mbioni kuwaburuza Edward Lowassa na Freeman Mbowe mahakamani. Likiwemo suala la mauaji ya Chacha Wangwe. Mtakumbuka Wangwe naye alikufa kwa staili hiyo hiyo pale alipopingana na Mbowe

chungeni midomo yenu kina nape,jamaa atawamaliza asee,,,miaka 30 anajiandaa kushika madaraka na pesa anazo,mnadhani nini kinamshinda kufanya?....
ulizeni makyembe,siku hizi kashika adabu kwelikweli.....mungu hadhihakiwi

Coalition ya Mbowe na Lowassa itawamaliza masisiemu wote kwa ajali mpaka India.. Endeleeni tu kumtukana Mungu, tunasema endeleeni huyo Mbowe na Lowassa watawamalize
 
Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.

Tunakushukuru sana kwa kuendelea kutupatia ushahidi wako mzuri husio na utata
 
Alwatan,

Mie nilikuwa najiuliza tu.
Siku ile Mbowe alivyoigua ghafla akiwa katika msafara wa Lowassa kuchukua fomu tume ya uchaguzi hali ingekuwaje kama angekuwa anaendesha gari au yuko safarini nje ya mji?

Angeweza kufariki na kifo chake kingeacha maswali mengi sana tata.
 
Nipo MAALUM Kuwasaidia WATANZANIA Tena Hasa Wana CCM Ili Mgombea Wao AWE RAIS WENU. Rwanda TUNAMUHITAJI MNO Dr. Magufuli ILI Tushirikiane Nae Vizuri Kimaendeleo Kama Tulivyoshirikiana Na Mzee Wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Bado Wana Rwanda TUNATAKA KUJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA CCM Hasa Yale Ya KIMAENDELEO Hasa TUKIAMINI KUWA KIONGOZI WAKE MKUU NA ALIYETUSAIDIA SISI WANYARWANDA HAYATI BABA YENU WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Alikuwa Muasisi Wa CHAMA KIZURI NA MFANO WA KUIGWA AFRIKA NA DUNIANI CHA CCM. Na SISI WANYARWANDA TUTAMPA KILA AINA YA USHIRIKIANO Dr. John Pombe Joseph Magufuli Na TUNAMPENDA Mno.
Ugoro wa leo ni mkali...lakini bado naona maluweluwe..sijui ni hili fukuto la El nino tangu juzi sijui!!!!
 
Kuna sababu nyingi za gari kuacha njia kama kupasuka tairi, kufeli breki, dereva kukosa umakini au kukwepa gari nyingine au mnyama barabarani.

Ajali hii ni mbaya sana.Gari imeumia vibaya na imepinduka.

Kuna sababu nyingi za kifo apa mfano head injury au chest and abdominal injury with internal bleeding.
 
1:si kila gari inayoacha njia basi sababu iwe kupasuka tairi.usiishi kwa kukariri.mf dereva anaweza kusinzia akiendesha kisha akaenda pembeni lakini akashtuka na kuiirudisha gari barabara kuu kwa ghafla,hapo lazima iache njia. 2:jibu unalo .mshtuko3:eneo halisi ni msolwa ,simu zinatofautiana uwezo.mwisho usihukumu uhai wa mwenzio au afya yake.mwache MUNGU AITWE MUNGU

Ukweli kabisa
 
Chacha Wangwe
Grace Mbowe
Regia Mtema
Mohammed mtoi
Christopher Mtikila
??????????????? Loading

Google vyanzo vya vifo vya hao niliokutajia utapata majibu ya Maswali yako.

Gwiji la siasa Tanzania Mchungaji wilbroad Slaa. Mwenyezi mungu akulinde ubaki huko huko Marekani ukiendeleza mapambano dhidi ya hawa UPAWA. Huku kamwe usirudi maana Picha la vifo kwa
Ajali
Ndio limeanza na sterling ni Makengeza

Mbona tayari yuko Tanzania au uko ndotoni?? Naye tutammaliza pia, endeleeni na propaganda hizohizo..
 
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Don't you love Hutu?
 
Mkuu uwezo wako wa kufikiria ndo umeishia hapa kweli?

Kwamba gari linaacha njia kwa tairi kupasuka tu?Hivi dereva akisisinzia gari inajiongoza barabarani?Marehemu alikuwa anatokea wapi na huko alianza safari saa ngapi?

Je unakumbuka ajari ya Marehemu mheshimiwa R. Mtema pale mlandizi ilisababishwa na nn? Overtaking.,Hapo kwenye bold umefikiria vizuri but tuwachie madaktari na Mungu zaidi

Mkuu jaribu kufikiri zaidi,by the way kufa lazima watu tufe haijarishi umekufa vipi?
 
Nyongeza ya swali la 3 eneo la ajali liko mita chache kutoka kituo cha Mafuta cha Msolwa, ni ngumu kidogo.

swali la ziada msolwa kwa tunaopita kila siku sio eneo baya kibarabara kama eneo la kuanzia chalinze hadi mlandizi.

kifo chake ni sawa na vya

regia mtema

chacha wangwe

dada dada yake mbowe.

mtema kesi ilikuwa kugombea uenyekiti wa BAWACHA

wange kungombea uenyekiti wa chama taifa

dada yake mbowe ni kuhamia ccm tu
 
Back
Top Bottom