singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,538
hao watanzania wengine labda ni panya ... inatia hasiraAcheni ushabiki kunguni nyie watanzania wanao kufa kwa ajali pia wameuliwa nyie nyoko nini mnaboa mno tumieni akili kifo cha MTU kikipangwa kimepagwa na hakuna Wa kuzuia
Tujuze ni mjadala gani umeibuliwa na hilo gazeti?
Kama kawaida yao hawakawii kuwachukua ndugu Wa marehemu na kuanza kuzunguka nao kwenye majukwaaCCM wamefanya hili ni sehemu ya kampeni, kweli pumzi zimekata. Sasahivi hata akifa bata wata muhusisha na kampeni.
Nani kammalizia kwa uelewa wako?Acha kumdhihaki mungu.hakufunga mkanda na akatupwa nje ya gari akiwa ameshika breaf case yake? Au alikimbizwa kwanza kabla ya kumaliziwa?
Nikiona mambo kama haya nakumbuka wafuatao..Chacha Wangwe,Harrison Mwakiembe,Said Kubenea, Kibanda na wengine naweka hakiba ya maneno
upande wa dereva ndo umepondeka zaidi Mtikila tu ndo wakufa hapo hapo? uchunguzi ufanyike juu ya hiki kifo hapana kwa kweli hainiingii akilini kabisa
Kifo ni kifo tu na sababu Huwa hazikosekani so tuache kubuni sababu ya kwetu bali waachiwe wahusika polisi na Madaktari
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la Mchungaji Mtikila hakuna tairi liliposuka. Sasa tuambiwe sababu ya kuacha njia na kupinduka ni nini?
2. Mchungaji Mtikila hana alipoumia au kubleed damu.(Labda iwe kafa kwa mshtuko wa moyo au internal wounds. Kwenye picha anaoekana hajaumia hata kidogo hata nguo alivozavaa zikiwa hazijachanika hata kidogo.Sasa tuambiwe sababu gani nyingine iliyopelekea kifo chake?
kuna msemo unasema"you see what you want to see",means unakiona unachopenda kukiona,na wewe umeleta mada ukiwa na majibu yako yaliyo egemea upande fulani,kueni jamani,mungu hadhihakiwi,tumuombee mchungaji huko aendako,na tusiwe wepesi wa kufanya shiriki kwani humchukiza sana mungu,nakuombea mleta mada ubadilishe mawazo yako ya kishirikina katika hili....R.I.P Mchungaji wangu Mtikila!
![]()
![]()
Ufafanuzi mzuri sana.
Mwakajuzi nikiwa likizoni homeland Tanzania, nilikuwa na safari ya dharura toka Dar kwenda Morogoro na kurudi siku hiyo hiyo kuwahi jioni yake kupanda ndege kurudi ninakoishi.
Niliondoka Alfajiri sana Dar kama saa kumi na moja, ukweli usumbufu wa kipekee niliopata ni yale makunyazi na mibonyeo ya low quality ya barabara alizosimamia Mafuguli.
Kuna sehemu nilipishana na basi la abiria wa mikoani HOOD LIMITED baada ya kuvuka tu lile daraja la Reli baada ya Mto Ruvu kuelekea Morogoro alimanusura nipinduke na kagari nilikoendesha, nilichepuka kulipa site bus nikafikiri barabara za Obama, oh my goodness, niliyumba na bahati nilipunguza speed.
Ajali nyingi huchangiwa na quality mbaya ya barabara anazojisifia Magufuli.