Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

Mkuu nakushauri omba nafasi police maana naona hiyi Forensic Report umetoea hapa umeonesha unaweza kusaidia inchi yako kujua nani alimuwua Mwangosi, alimteka Dr Ulimboka na mungu kumunusulu, Kilimuwua Balali nini?

Twigga kwenye Airport alikua wanani? ume outclassed kitengo cha upelelezi.

Pls onesha uzalendo jiunge huko Boss
 
Kama ni kweli alichokisema yule majeruhi kuwa Mchungaji alirushwa akatokea kwenye kioo cha mbele, basi nin wazi Mchungaji hakuvaa mkanda (Seatbelt) na ni kosa kubwa sana tena kwa abiria aliyekaa kiti cha mbele. Tusiwe wepesi kulaumu mtu yeyote kabla ya kijilaumu sisi wenyewe. Mimi nilishawahi kupata ajali nikiwa naendesha gari yangu. Tulikuwa wawili kwenye gari, Mungu ashukuriwe tulikuwa tumevaa mikanda wote. Haki ya nani, tusingevaa mikanda tungekuwa marehemu wote wawili siku ile na kumbukumbu ile haitakaa ifutike kichwani mwangu. Na tangu hapo kila anayepanda gari langu lazima avae mkanda la sivyo ashuke.
 
Mkuu nakushauri tena omba nafasi police maana naona hiyi Forensic Report umetoea hapa umeonesha unaweza kusaidia inchi yako kujua nani alimuwua Mwangosi,alimteka Dr Ulimboka na mungu kumunusulu,Kilimuwua Balali nini? Twigga kwenye Airport alikua wanani? ume outclassed kitengo cha upelelezi.Pls onesha uzalendo jiunge huko Boss
 
Akili fupi huwa hazikawii kuleta maafa. Haya mambo ya kujifanya polisi mmeyatoa wapi? Kuna tofauti gani kati ya wanaoamini ushirikina na wewe unayeamua mambo kwa hisia?

Kapteni Komba alisema Warioba amezeeka blah blah blah, je Mzee Warioba alimroga kapteni Komba? Acheni upuuzi. Haya mnayoongea kwa kutafuta sifa yanaweza kutuletea maafa.


Kinachochekesha hapa Mkuu watu wamepuuza hata maoni ya majeruhi waliokuwa na marehemu gari moja....

Yaani kuna watu wamechanganyikiwa kwa chuki zilizopitiliza
 
Kwahiyo mnataka tuamini kuwa hao waliopanga kumuuwa walikuwa na akili fupi kihasi cha kushindwa kufikiria kuwa wakimuacha bila majerahaa itazua maswali? mnataka kutuaminisha kuwa hawakufikiria kumjeruhi kwanza mtikila kama walivyowajeruhi hao madereva na mchungaji Mgaya? yani mmewaita kuwa ni majasusi wa hal ya juu wenye uwezo wa kuingia popote lakini katika hii ajali ya Mch Mtikila wamekuwa ni mambumbu wasiojua kutengeza ajali itakayoshinda kuzua maswali kwenye vichwa vya wapumbavu na malofa? Tumuombe Mch Mtikila Apumzike kwa amani mahala ambapo Mungu ataona panastahili, tuache kujifanya wajuaji
 
Kwa aina hiyo ya ajali MTU kufa inaweza kitokana na mambo manne!
1. Aidha alikufa kwa mshtuko hasa kama akiwa na matatizo ya moyo
2. Aidha alikuwa hajafunga mkanda!
3. Aidha ni adhabu ya Mungu kwa ajili ya kukejeli MTU kutokana na ugonjwa. Inasemekana alimkejeli Lowasa akidai ni mgonjwa sana.
4. Aidha ni muungano wa sababu angalau mbili kati ya hizo 3 hapo juu.
 
Kwa aina hiyo ya ajali MTU kufa inaweza kitokana na mambo manne!
1. Aidha alikufa kwa mshtuko hasa kama akiwa na matatizo ya moyo
2. Aidha alikuwa hajafunga mkanda!
3. Aidha ni adhabu Mungu kwa ajili ya kukejeli MTU kutokana na ugonjwa. Inasemekana alimkejeli Lowasa akidai ni mgonjwa sana.
4. Aidha ni muungano wa sababu angalau mbili kati ya hizo 3 hapo juu.

5. Aliuwawa na amateurs walioshindwa to cover their tracks
 
si ni nyepesi kuibinuabinua...

ni rahisi hata kwa watu watatu kuiviringisha...

Mkuu hivi kweli ni gari aina hii yaani make and model hii ilitumika?
Swali gari limesajiliwa kwa jina la nani?
 
Jean Bosco mfanyakazi wa Mtikila amekamatwa akiwa anataka kutoroka, akiwa na kiasi kikubwa cha pesa. Uchunguzi unaendelea........
 
Kwahiyo mnataka tuamini kuwa hao waliopanga kumuuwa walikuwa na akili fupi kihasi cha kushindwa kufikiria kuwa wakimuacha bila majerahaa itazua maswali? mnataka kutuaminisha kuwa hawakufikiria kumjeruhi kwanza mtikila kama walivyowajeruhi hao madereva na mchungaji Mgaya? yani mmewaita kuwa ni majasusi wa hal ya juu wenye uwezo wa kuingia popote lakini katika hii ajali ya Mch Mtikila wamekuwa ni mambumbu wasiojua kutengeza ajali itakayoshinda kuzua maswali kwenye vichwa vya wapumbavuk


katika ku engineer ajali kuna majeraha wataalamu mara moja wanaweza gundua kuwa mtu ameinflict na si ajali,kwahiyo hawawezi kumkata mapamnga eti ionekane ajali imemuumiza
 
Mtoa maada unanishangaza et gar kuacha njia lazma tair lipasuke kama ukiwa mwendo kasi na ukashindwa kulimudu gar haliwez kuacha njia?????? npe jbu mtoa maada
 
Jean Bosco mfanyakazi wa Mtikila amekamatwa akiwa anataka kutoroka, akiwa na kiasi kikubwa cha pesa. Uchunguzi unaendelea........

wacheki pia account za huyu mchungaji mgaya na wale madereva,kuanza mmpesa mpaka account za benki,zao na za wake na watoto kama zipo,kama wakikuta pesa nyingi then jibu litakuwa wazi kabisa.....FOLLOW THE MONEY TRAIL
 
Jean Bosco mfanyakazi wa Mtikila amekamatwa akiwa anataka kutoroka, akiwa na kiasi kikubwa cha pesa. Uchunguzi unaendelea........
Duh!
Yatajulikana tu.
Uzuri ni kwamba Mtikila hakuwa antagonistic kwa the ruling establishment, licha ya kuwa wanamfahamu kuwa mpinzani wa kweli na wa muda mrefu kuliko takribana wapinzani wote toka enzi za Mwalimu.
Tukiamua to zero down possibilities za waliomkong'oli, hisia zinakwenda kwa aliokwa akiwananga hivi karibuni.
Vyombo vya usalam vina wajibu kuleta majibu ya ukweli katika hili, ili kuondoa ukakasi katika hisia za siasa za Tanzania.
 
Back
Top Bottom