Mata Mtanzania
Member
- Jun 7, 2013
- 63
- 7
Achen kutaufta tafsiri mbadala ya kifo
Hivi ajali inayosababisha kifo huwaje? Watu wanagongwa na baiskeli na kufa, sembuse kupinduka kwa gari?duh mbona yupo smart kama ametoka salon, hiyo ajali kweli?
Muuaji wake anajulikana, hivi karibuni amemshambulia sana na akasema hafai kwenda Ikulu. Huyo huyo muuaji ndiye aliyetuma watu kumvamia Humphrey Polepole nyumbani kwake Mbezi beach.
1. Gari yake haijaharibika kabisa na tunaaambiwa iliacha njia na kupinduka tunajua sababu kubwa ya magari kuacha njia ni kupasuka kwa matairi lakini hili gari la mchungaji mtikila hakuna tairi liliposuka. Sasa tuambiwe sababu ya kuacha njia na kupinduka ni nin?
2. Mchungaji mtikila hana alipoumia au kubleed damu.(Labda iwe kafa kwa mshtuko wa moyo au internal wounds. Kwenye picha anaoekana hajaumia hats kidogo hata nguo alivozavaa zikiwa hazijachanika hata kidogo.Sasa tuambiwe sababu gani nyingine iliyopelekea kifo chake.
3.Tunaambiwa ajali alipata SAA 11 alfajiri chalinze kwaa asili ya eneo la chalinze ni eneo bize sana kwa nini picha iliyosambaa inaonesha ninasubuhi kabisa kumekucha INA maana ajali yake haikushtukiwa na Wtumiaji wengine wa Barbara mpka asubuhi.
Angalizo cjamlaumu MTU yeyote kwenye hii ajali ila ni maswali ambayo nilikua najiulza binafsi sasa nawaomba msichafue hali ya hewa.
Hiyo ni tai kafungwa mdomo usikae wazi.Huoni?Angalia hiyo picha kapasuka kichwa hadi ngozi ya nyuma inekuja masikioni.. ni ajari ya kawaida
Pia utizamapo picha mchungaji hakuwa amefunga mkanda asinge toka nje ya gari, mara nyingi tuna shauriwa kabla ya kuondoa gari funga mkanda linapo tokea jambo mkanda utakusidia.Ni mtizamo wangu kulingana na picha za ajali
kumbe wewe mnyaruanda sasa pilipili usioila inakuhusu nini tuachieni tanzania yetu.mmeanza swine! watanzania fanyeni mambo yenu na iacheni rwanda na maisha yake. ikiguswa tu nchi ya rwanda gentamycine sitanyamaza na hali ya hewa itachafuka humu. Mtuache wanyarwanda tupambane na maisha yetu kwani genocide ya 1994 imeturudisha mno nyuma ila tunashukuru mwenyezi mungu sasa kiongozi wetu mwenye haiba kama za dr. Magufuli kipenzi changu his excellency president paul kagame anairudisha rwanda ktk economic and development map. i love rwanda, i love paul kagame, i love tutsi tribe and i love dr. John pombe joseph magufuli.
Mmeanza Swine! Watanzania Fanyeni Mambo Yenu Na Iacheni Rwanda Na Maisha Yake. IKIGUSWA Tu Nchi Ya Rwanda Gentamycine SITANYAMAZA Na Hali Ya Hewa ITACHAFUKA Humu. Mtuache WANYARWANDA TUPAMBANE NA MAISHA YETU KWANI GENOCIDE Ya 1994 IMETURUDISHA MNO NYUMA ILA Tunashukuru Mwenyezi Mungu SASA KIONGOZI Wetu Mwenye HAIBA Kama Za Dr. Magufuli KIPENZI Changu His Excellency President Paul Kagame ANAIRUDISHA Rwanda Ktk Economic and Development Map. I Love Rwanda, I Love Paul Kagame, I Love Tutsi Tribe And I Love Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
{Eddy}huenda ikawa hujawahi ona ajali katika uhalisia hata kama gari ni jipya litatoa vumbi na kila kilichopo kitakwenda nje, je nyanya na vitunguu alikuwa anakimbia nazo? zipo katika picha pia. Fikiria na kutafakari bwana ameto na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.hakufunga mkanda na akatupwa nje ya gari akiwa ameshika breaf case yake? Au alikimbizwa kwanza kabla ya kumaliziwa?
Angalia hiyo picha kapasuka kichwa hadi ngozi ya nyuma inekuja masikioni.. ni ajari ya kawaida
Pia utizamapo picha mchungaji hakuwa amefunga mkanda asinge toka nje ya gari, mara nyingi tuna shauriwa kabla ya kuondoa gari funga mkanda linapo tokea jambo mkanda utakusidia.Ni mtizamo wangu kulingana na picha za ajali