minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,446
Yawezekana kweli marehemu alikuwa na Ugonvi na Kagame lakini kwa tukio hili la Ajali ni vizuri wangehojiwa kwanza hao watu aliosafiri nao kabla ya kupakaza au kuwahisi watu wowote wale, maelekezo ya mgaya na wenzake ndio yatatoa mwangaza pa kuanzia msikurupuke kuwahusisha watu na Ajali pasipo kuwa na uhakika na lolote.Mchungaji mtikila alishawahi kuwaandika watu wafuatao kwamba n watu hatari sana
1.innocent mchunku kapilipili
2.francis magege
3.james kabarebe
4.athanas kafurama (very dangerous)
5.mchungaji mgaya
Nashangaa na siamin kama leo ameongozana na mtu anaemjua kuwa n hatari mtu aitwaye mchungaji mgaya
Kwa hiari yake
Kuna kitu kinaendelea hapa
Mtikila kamsema sana kwa nguvu zote kagame na lowasa
Na hawa watu wanakonekshen sana
Na n watu hatari
Majasusi wa kagame wakikuhitaji hata kama uko whitehouse marekan wanakumaliza mara moja
Wanauwezo hata wakuingia nchi yoyote na kutekeleza waliloagizwa
Refer mwaikyusa
The same to lowasa
Refer. Ripot ya mwakyembe kwa IGP kuhusu mpango wa lowasa kutaka kumuua