Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

Inaumiza sana
Humphrey alikuwa mtu wa watu na kiongozi bora. Hawa wauaji wakitolewa madarakani kuna watu watachunwa ngozi live mchana kweupe
Ndiyo maana wako tayari kufanya lolote ili tu waendelee kubaki kwenye utawala. Ila wakati mwingine hata wawe wakali namna gani, inaweza kutokea hali ambayo hawakuitarajia na mambo yakabadilika.
 
Wanajizima data tu. Hata kama ingekuwa ni mimi nimepewa kazi kumlinda ningemmaliza mimi mwenyewe mbwa yule. Amfuate Magufuli wakapige story zao, maana walijiona miungu watu
Mkuu Stuxnet Polepole alitubu na akawa upande wa haki. Kabla ya kutekwa alifanya kazi ya kizalendo sana. Najua unaweza kusema mirija yake ya asali na maziwa ilikatwa, hilo sisi halituhusu ila tufocuss na toba aliyoifanya na kuwa upande wa haki. Hivyo tunapaswa kumsamehe na kumchukulia kama shujaa kwa kupigania haki kabla ya kutekwa
 
The unavoidable painful truth.
hata polepole kurudi na kuyasemea yale aliyokuwa anayasema ndani ya nchi ni damu za watu zilimuita aje Tanzania kwa ajili ya kisasi

Kwa sababu kwa akili ya kawaida huwezi ongea mambo mazito vile ndani ya nchi ambayo hata waliochora tu picha ya kukashfu viongozi wanaadhibiwa
 
What goes around comes around, karma has unique way of keeping perfect time.
Universal balance.
 
Polepole na wenzake ndio waasisi wa haya mambo ya kipuuzi,, ukiangalia tunaambiwa tumsamehe kwa sababu alikiri na kuomba radhi,, najaribu kujiuliza hv wake waliopatwa na madhila kipindi hicho kama akina Tundu Lissu na ndugu zao sijui nao huko kusamehe kunakaaje!
 
Polepole hakuwahi kuomba msamaha alitaka kuhamisha magoli kwamba utekaji wa kipindi cha magufuli na ukandamizaji wa demokrasia ilikuwa ni kazi ya mtandao

Polepole alikuwa anamponda samia na mda huo huo anatumia kila njia kumshafisha magufuli na utawala wake
 
Ile ilikuwa ni mission ya kwenda kumuua. Hivi watu hawaamini lile gazeti linalochapishwa Ufaransa lilipoandika kuwa aliuawa? Inasikitisha sana lakini ndiyo ukweli wenyewe.
Polepole alionekana tishio kwa mfumo alioutumikia.

Cha ajabu chama chake alichokitumikia kama Mwenezi, bunge aliloshiriki kama Mbunge na hata wizara ya mambo ya nje alioitumikia kama Balozi wote wapo kimya.

Hata wazee aliokuwa akiwataja kama 'wazee' wake waliomlea kiitikadi nao kimyaaaaaaa....

Kweli tupo kwenye 'State Capture '..
 
hata polepole kurudi na kuyasemea yale aliyokuwa anayasema ndani ya nchi ni damu za watu zilimuita aje Tanzania kwa ajili ya kisasi

Kwa sababu kwa akili ya kawaida huwezi ongea mambo mazito vile ndani ya nchi ambayo hata waliochora tu picha ya kukashfu viongozi wanaadhibiwa
Kuna wanaosema jamaa alirogwa ndio maana akarudi wengine hudai aliuzwa/alisalitiwa ndio akatekwa wengine husema Kuna walioahidi kumlinda na kumuunga mkono akiwa nchini ndio maana alirudi.
 
Polepole alionekana tishio kwa mfumo alioutumikia.

Cha ajabu chama chake alichokitumikia kama Mwenezi, bunge aliloshiriki kama Mbunge na hata wizara ya mambo ya nje alioitumikia kama Balozi wote wapo kimya.

Hata wazee aliokuwa akiwataja kama 'wazee' wake waliomlea kiitikadi nao kimyaaaaaaa....

Kweli tupo kwenye 'State Capture '..
Bado kuna Ng'ombe wengine wanajidanganya kuwa wapo salama wakiwa ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom